Loving you Mahondaw

Shida uni una uwaki mnooo, why uni mention naye???
👉Hi sio Mara ya kwanza ujue??, Last Time nime kuambia Acha kuni husisha na habari hizo- hauelewi tu.

Mi siko nae, Sija wahi, na sito wahi kuwa nae Kwenye mahusiano🙏🙏
 
Hahahaha...
Achana na hayo mambo, ningekua ni mtu wa kupiga au kupigana, ningekudunda siku ile...
Nina neno moja, wewe tayari ushangea maneno kama yote...

Baada ya hapo...
Ungeanzaje kunipiga vileee!!?🤭 🤠! Ile siku sitaki kukumbuka kabisa smart

"Here we are
Beat me Tonniah beat me
Si ulisema una hasira namimi nipige mpaka hasira zako ziishe"

😌😢😢😥!
 
Shida uni una uwaki mnooo, why uni mention naye???
👉Hi sio Mara ya kwanza ujue??, Last Time nime kuambia Acha kuni husisha na habari hizo- hauelewi tu.

Mi siko nae, Sija wahi, na sito wahi kuwa nae Kwenye mahusiano🙏🙏
Ndio unitukane mbona mimi unaniambia mengi sikutukani umesema wewe una best mwingine kuwa naye sio.mbaya iwe heri kwenu niache mie msenge niishi nilivyoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…