Loving you Mahondaw

Loving you Mahondaw

🤣🤣🤣🤣🤣!

Weee miezi mitatu tutambemenda mtoto weee!
Afu nilivo na damu nzuri wakike wanakua kama waarabuuu😛😁😁😁
Hizi lugha za kitapeli hizi, ndio zinazowafanya wanaume wengi wanasahau walikotoka; mzee wa muongozo shtuka mapema 😀 😀 😀 , usipokuwa makini, unaweza kujikuta una suruali moja tu, fua kauka nikuvae.​
 
Weeeee tutake radhiii pulllllllliiiiiiiiizzzzz!!!
Hata bila kumtegemea smart ndo nishindwe hata kumnunulia nguo Smart911 wanguu mfyuuu!☺️
 
Hizi lugha za kitapeli hizi, ndio zinazowafanya wanaume wengi wanasahau walikotoka; mzee wa muongozo shtuka mapema 😀 😀 😀 , usipokuwa makini, unaweza kujikuta una suruali moja tu, fua kauka nikuvae.​

Wee acha zakooo unataka Smart anitooo mpaka nizime mimi akili zake siiiooo yule😁!
 
Ndo haoo haooooooo! Hawa mambo yao wanajuana wenyewe!
Umenikumbusha kitu kimoja, kuna mzee mmoja alikuwa mbogo kweli akiwa nje, akiingia ndani alikuwa anapewa majukumu ya kazi za nyumbani na anakuwa hana sauti, vipi ulishawahi kusikia kitu cha namna hii? Na ni kitu gani kinachosababisha hiyo hali?​
 
Kwamba mzeiya katulizwa na shuntama?? ?? 😁😁😁! Weee mwehuu kwel Mi na smart mile daima mtasema mtachoka 😁!

Kwa taarifa tu Hata tukigombana hatuachanagioooooohhh🤗🤠!( In Nigerian voice)
 
Suluhisho hapa ni watoto wanaofuatana tu, unakata mti unapanda mti 😀
 
Siwezi kuhukumu ila naomba kuuliza
Si umeolewa ?au umeachika?au msimbe kama Wengine tu?
Kama umeolewa afu unazini nje baasi unakosea ila Kama sio na smart ndo chaguo lako muambie akuoe Kabisa usikubali kuchezewa shere humu jf
Wanaume wa mjini hapa janja Janja nyingi Sana ,take extra cere tread careful
Am noo one to judge you maana hata sisi tunaachwa na tunarudiwa ila wewe ni mtu mzima check both sides ndo uingie mchezoni
Kila la kheri
 
Ngachekaaa mimiiiiiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭!

Umetishaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom