Loving you Mahondaw

Loving you Mahondaw

Nimecheka 🤣🤣
Eti yatima wa mapenzi

Eeh in Maho/Anto voice kabeeesa ,nimejipata kuelekea valentine
Kweli umejipata wala sio uongo, na huyo boss wa migodini mayatima tujiandae kuona mnaogelea kwenye mipesa..!!!!

Sie wengine mayatima twende mto mzinga tukaoge tukutane na mamba tutafunwe tupumzike hatuna faida ktk ulimwengu wa mapenzi 😂😂😂😂😂
 
Una nn lkn
🤣🤣🤣Ngoja nimwambie baby afunge pm watu wa humu wakishajua baby ana maokoto watamvamia bure🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom