Mi sio tu kutania bro, kifupi sitaki shobo ya kujuana na watu nje ya jf..!!Namtania tu Lamomy, sija attack mrebo yoyote hapa, sawa cheupe.
Itakuwa baba Jane bye bye ๐คฃ๐คฃ๐คฃAna maandishi machafu mno na uzi utafungwa ๐๐๐
Umewahi naamini hivyo๐๐Aloooo๐๐๐, mi hata laki 5 ya pamoja sija wahi๐๐๐
Wamuache apumzike kabisaa ๐คฃ๐คฃ๐คฃTena akija ameamkia kushoto mbona mods wenyewe watasalenda na kufunga kikao[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwanza ndani ya uzi ataweka uzi wake na matusi juu๐๐๐Itakuwa baba Jane bye bye ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃKwanza ndani ya uzi ataweka uzi wake na matusi juu๐๐๐
Eti eee . Hapa story tu mengineyo big no.Mi sio tu kutania bro, kifupi sitaki shobo ya kujuana na watu nje ya jf..!!
Humu unaa mwingi, kwanza mtu mmoja ana id zaidi ya 100 na zote anacheza nazo, akiamua anakuwa mwanaume and the same time anakuwa wa kike.!!!
Na ana play adui na rafiki ndo nitake kujuana na mtu?? Like seriously? Nope nope wakafie mbeleeeee ๐๐๐๐๐๐
Ndo maanake tujuane ili tugundue nini.??Eti eee . Hapa story tu mengineyo big no.
Baby hata Kama nime wahi, niki Sema Ina saidia kipi??.Umewahi naamini hivyo๐๐
๐๐๐Wiiii naomba aftatu ya vocha
Tena mods ndo zao hapo kwenye I'd ndo usiseme ndo maana hawatukani wakiwa kwenye I'd zao za ofisi ila hizi zingine ni balaa tupuKwanza mtu mmoja ana id zaidi ya 100 na zote anacheza nazo, akiamua anakuwa mwanaume and the same time anakuwa wa kike.!!!
Na ana play adui na rafiki ndo nitake kujuana na mtu?? Like seriously? Nope nope wakafie mbeleeeee ๐๐๐๐๐๐
Sikia shouzzz ngoja nikate unafiki hapa, wee ile siku nimemchamba na kumchambua huyo smart kuhusu tabia yake ya kupakazia uongo, tena nilimuita kwa kumtag mwenyewe, ulisemaje?Humu dawa ni kuwa bize na yanayokuhusu tu bila kujali kima gani tupo nawe na anasemaje kukuhusu!
Jf unaaa sana !
Mbaya zaidi watu wanajifanya kujua mtu ambae hata hawamjui that's jf!!
Hivi yule rafiki yako kabadili Id au maana mda sijaona comment zake humu๐๐Baby hata Kama nime wahi, niki Sema Ina saidia kipi??.
๐Uki ongea Sana, Kumbuka na kuhifadhi.
Naona mme Anza kulipana ๐๐, dah mi hiyo toka nizaliwe sija wahi pata๐คView attachment 2893538
Nuzulat mi ya mwezi jamani
Umenikumbusha mbali Sanaโa.!! Hiyo siku nilikuwa nafatilia umbea ambao leo umejirudia tena, tukapigwa ban halafu kuna kundi likaja ku celebrate aiseee!! Nilikiwasha mpk sio poaah!!Mafile lazima kwa sie wambea wanasheria.View attachment 2893535
Kastaafu jf, story za Humu SI rafiki.Hivi yule rafiki yako kabadili Id au maana mda sijaona comment zake humu๐๐
Kuna mdau katuma screenshot ya comment yako. Nikakubuka ile siku ulifurahi ukatuma gallery yote selfika tuchichagulie ya kushangaa.Ndo maanake tujuane ili tugundue nini.??
Mpk nadanja hakuna pipo itakuja inijue humu, na sitaki nilishajiwekea sheria zangu..!!
Kujuana mwisho pm ๐๐๐๐
Humu inatakiwa uwe na ngozi ya kenge vinginevyo๐๐๐Kastaafu jf, story za Humu SI rafiki.