Loveness Tarimo athibitisha kuwa ni mjamzito

Loveness Tarimo athibitisha kuwa ni mjamzito

Area 56

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,546
Reaction score
4,040
Mwanadada mbeba vitu vizito, Loveness Tarimo ametangaza kuwa yeye ni mjamzito kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Namtakia kila la heri, atuletee anko salama!!
IMG_7743.jpeg
IMG_7744.jpeg
IMG_7740.jpeg
 
Basi huenda tunatofautiana kimtazamo.

Sasa huyu unamgeuzaje kwa hivi alivyo
Mtazamo wa kingono ndo unakufanya usione huyo ni mwanamke.

Ukijua utofauti wa jinsia na jinsi , Sex and gender ila ndo hivyo .

Kama mwanaume anaweza kulala na Malaya wa kimboka , akalala na kichaa n.k atashindwa vipi Ku have sex na mtunisha misuli.
 
Back
Top Bottom