Hahahahaaa mpwa bado unalo tuu? Tee Bag mtoe hamu masai dada
nambie bana maana ya mcharo ni nini
Hahahahaaa mpwa bado unalo tuu? Tee Bag mtoe hamu masai dada
Kwani wewe ni chungwa au chenza? (utani)
Nimecheka mpaka machozi wallah ati masai dada mpwangu kawa mtamu zaidi ya MCHARO Hahahahaaa
Weeweeee watu weweeee
Atiii.....
mmmmh mi nimekaa
miss nedy kasimama
na kioo chako unajiona mrembo hapo
Hahahahaaa hahahahaaa hahahahaaa hahahahaaa mpwa umedata wewe
hahha totoo ulikua wapi leo
za asubuhi mpwa sisi tumeshaamka