huyo alosimama ni miss chagga
Hahahahaaa kwani miss neddy ni Sony wega?
Hahahahaaa kwani miss neddy ni Sony wega?
Atiii.....
ndo maana nakukimbia maana unapenda vichuguu sana
Hahahahaaa hafu mpwa unasema mi napenda sana naniliu?
Hakya mungu wewe mtoto umemzidi mcharo