Love

Love

Mwl Evelyn Salt nahisi nilikumiss kidogo! Mzimaaa?
Abeeee honey!!!!!!!!
afu ahsante kwa zawadi yani kila nkitaka kushukuru nasahau...yote haya unayataka wewe zawadi mara moja kwa mwaka.
ahsante mpenzi.
 
Last edited by a moderator:
Pia ni sawa na kumlazimisha mbuzi ale nyama na mbwa ale majani.

Kiongozi kumbe haya maneno unayaongea wewe?
Ikawaje ukawa luba kivile?
Ama ulikua unajipima marathon ?
Bai ze wei una mapafu ya Mbwa! Eventhough vijibwa vyenyewe ni vile vifupi vyenye manyoya kibwena!
Vijibwa'mapambo haviwezegi mabundesliga!
 
hivi utafanyeje ukiona mtu anakupenda sana,ila wewe hayupo kabisa moyoni mwako.??
 
Back
Top Bottom