Love story (True story)

Siyo mambo ya kisiasa akiri yake mbovu tu! Ana ile destuli ya kusema ukimwaga mboga nakanyaga ugari.

mkuu inaedelea? nasubiri umalizie kahadithi kazuri kweli kamapenzi. hahaha mwanamke amachumba, halau anajimmy wakutuliza genye na amezaa na sugu duuu kweli TUTAPOMA UKIMWI HAPA?
 
Siyo mambo ya kisiasa akiri yake mbovu tu! Ana ile destuli ya kusema ukimwaga mboga nakanyaga ugari.
Haya ya kumwaga ugali na yeye mboga, dada zetu wanayo sana!!! Ndo maana hata kufumaniana na kuita OFM ni yale yale. Hivi mtoto huyu si anamharibia maana hata Mhe. hawezi kuwa na hamu hata ya kuona damu yake. Tubadilike jamani, tuache kuwa wabinafsi maana katika hili sakata wanamuumiza mtoto ambaye walimtengeneza kwa raha zao.
 
Mwanamke mdomo waziii??unawezaje kuanika ufilauni wako kiasi hiki!!!na nyinyi kaka zetu mkomage kuokota wanawake hovyo wasiojielewa kama Huyu!!!maelezo yake tu anaonekana punguwani!!ndo wale kugombana na mpenzi wake kidogo tu anaenda barabarani kutoa siri zoote hadi za mwaka juzi loh!!!

Tupe mwendelezo basi msimuliaji,hapa nimejifunza si kila mwanamke anafaa kwa mahusiano!!!
 
Mwanamke mwenye akili timamu huwezi kuanika upuuzi kama huu ....kahaba @ work
 
mkuu inaedelea? nasubiri umalizie kahadithi kazuri kweli kamapenzi. hahaha mwanamke amachumba, halau anajimmy wakutuliza genye na amezaa na sugu duuu kweli TUTAPOMA UKIMWI HAPA?

Mkuu inaendelea hiii mpaka mtoto apatikane na sanabu za kuachana zijulikane maana anadai yeye ndiyeiemuacha sugu.
 
huyu bibie mh! anajiabisha tu jamani si akae kimya jamani! khaaa! le mburulaz
 
If this is a verified story:

1. Bangi = uhuni

2. Ngono bila ridhaa = ubakaji.

3. Ngono zembe = kukosa uwezo wa kufanya maamuzi sahihi.(recklesness)

Hawa ndio UKAWA wanataka tuwape IKULU.

Kwa staili hii mtaendelea kuishia hapo Bungeni milele.
 
Ni sheedah,
Eheeeh!!!
 
Aahahahahhhahahh, huku watoke wapi wa hivyo, waarabu koko wetu wapo wamejichokea na hapa kayenze ndio mwisho wa reli, Karibu maembe

Last edited by a moderator:
Aahahahahhhahahh, huku watoke wapi wa hivyo, waarabu koko wetu wapo wamejichokea na hapa kayenze ndio mwisho wa reli, Karibu maembe

Na kweli waarabu wenu wa huko wamechoka.Basi kesho itabidi nije kukutembelea nijilie maembe
 
Reactions: ram
Tumesema msije huku mtatuharibia story ya huyu mwanaharamu asiye na haya, Baba wa mtoto wako unamuanika kwenye mtandao ili iweje....
Nie wanasiasa bakini huko huko siasani

If this is a verified story:

1. Bangi = uhuni

2. Ngono bila ridhaa = ubakaji.

3. Ngono zembe = kukosa uwezo wa kufanya maamuzi sahihi.(recklesness)

Hawa ndio UKAWA wanataka tuwape IKULU.

Kwa staili hii mtaendelea kuishia hapo Bungeni milele.
 
Tumesema msije huku mtatuharibia story ya huyu mwanaharamu asiye na haya, Baba wa mtoto wako unamuanika kwenye mtandao ili iweje....
Nie wanasiasa bakini huko huko siasani
samahani lakini nimeona hadithi imegusa interest za siasani, nikaona nitupie neno, weekend njema.
 
Nitakufungia na kwenye mfuko wa rambo uwapelekee na watoto, manake yanatuchafulia mazingira tu sasa

Duh!naona hiyo kesho haifiki itabidi nitembee na kisu kabisa nakua najisevia popote nitakapokuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…