Love story (True story)

Mjinga sana huyo,basi kikitoka utuendelezee hapa
Sina muda/pesa za kununua huo upuuzi wake

Haya ila nafanya juhudi za kumbembeleza aendelee, nikifanikiwa nitaweka tena hapa.
 
kwenye RED hapo,Me tujifunze kitu hapo ndo bwana jimmy alipokosea na mwenye busara hujifunza kwa makosa ya mwenzake... manaake nyuzi za Me kulia lia huku JF zimezid kuliko za Ke sikuhizi,So ukichapiwa kuwa mpole kama Lowassa.sio stori tu ni somo pia,Thanks mkuu Rich Pol
 
Mkuu huyu Faiza atatoa kitabu miezi michache kabla ya uchaguzi, mbaya zaidi hafichi kitu yaani kila kitu anaweka wazi, kiafrica africa havina impact kibwa ila heshima yake Sugu itashuka sana, cha msingi wakae wayaongee yaishe walee mtoto wao.

Hawa wanasiasa wana uzoefu mzuri tu wa kukabiliana na mambo kama haya..hivyo sidhani kama inaweza kuwa na impact kubwa kwenye position yake. Jamaa atapangua tu ni mwanasiasa ingawa bado mchanga lakini pia ni msanii.
 
This is mental blackmail....Sugu will remain Sugu until the end of the story.
Above all in this game Sugu is invincible,for his social credibility and political personality is beyond public demand from this story.
Sorry for the stupid lady.....“your too late to apologise..u have lost your diginity ..your energy and time to tell the world about your insanity"
Keep on with your project-We shall see what we shall see!!
 
Duh?huyu mwanamke hajielewi.Yani nikatoe hela yangu kununua utumbo wake?

Halafu mbona unaniamsha kijeshi hivyo??umesahau ushauri wa daudi.........

Nimeufuata sana ndio maana umeamka mwepesiiiii...

Ushauri wa daudi hauishii kwenye kuamka tu...think HF thinkkkk....
 
Mkuu huyu Faiza atatoa kitabu miezi michache kabla ya uchaguzi, mbaya zaidi hafichi kitu yaani kila kitu anaweka wazi, kiafrica africa havina impact kibwa ila heshima yake Sugu itashuka sana, cha msingi wakae wayaongee yaishe walee mtoto wao.

Kwahiyo kumbe yeye analenga uchaguzi!!!!!!! na atazidi kuumia kama ni hivyo muheshimiwa bado atapeta na yeye atazidi kuwa kituko,mshauri vizuri
 
Kwahiyo kumbe yeye analenga uchaguzi!!!!!!! na atazidi kuumia kama ni hivyo muheshimiwa bado atapeta na yeye atazidi kuwa kituko,mshauri vizuri

Hajamaanisha anasubiri uchaguzi ila amepata mfadhiri anajiandaa kutoa kitabu ambacho kitakuwa tayari mwezi wa tano.
 
Hajamaanisha anasubiri uchaguzi ila amepata mfadhiri anajiandaa kutoa kitabu ambacho kitakuwa tayari mwezi wa tano.

Ndivyo ilivyo na kama siyo penzi la Sugu kumchanganya basi kuna mtu anamtumia bila yeye kujua,na hata wewe umeandika kuwa kitabu kitatoka mwezi wa 5 kabla ya uchaguzi,mwanamke mpumbavu na wa pekee ndie anaweza kutoa kitabu cha namna hii.
 
Sijui kama anatumiwa but najua mwakani kuna homa ya uchaguzi, hofu yangu kitamshushia heshima yake sugu maana kama alivosema huko mbele ni shiida ameanika kila kitu, ushauri wangu aongee nae maana ni tayari ni mzazi mwenzake badala ya kujidhalilisha hivi.
 
Hata angeandika nini,"mwanamke atabaki kuwa mwanamke na mwanaume atabaki kuwa mwanaume" hivyo haiwezi shusha hadhi ya mwanaume yeyote hata kama asingekuwa mwanasiasa.Mpe pole
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…