Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,877
- 5,694
Kianzia leo nitakuwa nawawekea love story ya Faiza Ally mzazi mwenzake na mh. Joseph Mbilinyi (Sugu) anayoendelea kuitoa ktk mtandao wa Instagram na Facebook.
Kwakuwa ni yeye mwenyewe ameutoa sina budi kuwaletea hapa wana JF ambao hawana access au muda wa pupita ktk mitandao hiyo.
Naanza.
Sehemu ya 1
Alinitumia friend request FB baada ya kumkubalia urafiki sikujua kama yeye ni nani na anafanya nini na hii ni kawaida yangu mtu ambae simfahamu na tumekuwa marafiki kwa muda mrefu ndiyo naingiaga katika profile yake.
Tulichat mala kadhaa nikiwa najua ni kijana tu kama vijana wengine, baada ya kuchukua namba yangu ktk kupitia page yangu ya FB mala kadhaa alikuwa ananipigia simu usiku mida ya saa tano na saa sitaakiwa ananiomba tuonane.
Hallo hallo naweza kukuona?
Mimi nilikuwa namshangaa sana inakuwaje ghafla si kiheshima as mtu anakununua nikamjibu unapigaje simu ghafla unataka kuniona usiku?
Akanijibu ndiyo ameingia.
Nikamuuliza kwanini usinipe taarifa kabla ya siku kadhaa kuniona? Mimi siwezi kukurupuka kiasi hicho.
Kumbe yeye alikuwa anatumia umaarufu wake na uongozi wake wakati huo mimi sijui yeye ni nani
INAENDELEAA.