Love making ni moyo wa ndoa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Kwa wake ambao hamjapitia mkoleni sisi wa Kwamtogole tunawapa usia love making ina waunganisha, inasukuhisha ugomvi, inawafanya mjione kuwa ni mwili mmoja na pia hupungua a tamaa ya michepuko.

Wale wanaosema usinisumbue nimechoka ham juu kuwa mnajenga nyufa kwenye ndoa zenu?
 
Huu muda watu hutumia kufanya tafakuri ya vipi siku yao imeenda..na namna ambavyo unaweza kufanya vizuri zaid.

Wewe unawaza, tamania, kuandika na kuhamasisha ngono..rubbish!
 
Mh nyege tu hizo.
Huna lolote pengine its bcuz umevaa nguo.
 
Sky..,

Yaani nimemwonyesha wife huu ujumbe wako.., hakika ni wa kweli saaana..!
Ninaponyimwa K napata hasira kweli.., hua nafikiri kuharibu..
 
Asante
Asante kwa darsa madamee..
 
Huu muda watu hutumia kufanya tafakuri ya vipi siku yao imeenda..na namna ambavyo unaweza kufanya vizuri zaid.

Wewe unawaza, tamania, kuandika na kuhamasisha ngono..rubbish!
Wakati wewe unawaza shida na umasikini wa nyumbani kwenu wenzio wanawaza jinsi ya kutumia pesa waliyonayo.

Tutafte wanaume wenye pesa tukusaidie shida za nyumbani kwenu. Sio kulia lia tu humu wakati wanaume wa kukutunza tupo.
 
Huu muda watu hutumia kufanya tafakuri ya vipi siku yao imeenda..na namna ambavyo unaweza kufanya vizuri zaid.

Wewe unawaza, tamania, kuandika na kuhamasisha ngono..rubbish!
Maybe hisia zake n za asubuh
 
Sky..,

Yaani nimemwonyesha wife huu ujumbe wako.., hakika ni wa kweli saaana..!
Ninaponyimwa K napata hasira kweli.., hua nafikiri kuharibu..
Ni kwa kila mtu! Mnyime dushe wakati anataka uone muziki wake
 
Cjaoa lkn wakat ntaoa na ninyimwe
K zaid ya mara 3 tofaut tofaut paspo
Na sababu za msing
Bhas hakuna haja ya yy kuwa
Kwang
 
Upo sawa mkuu,70% ya hitaji la ndoa ni love making and happiness,mambo ya hela ni kujazia tu katika ndoa.
 
Huu muda watu hutumia kufanya tafakuri ya vipi siku yao imeenda..na namna ambavyo unaweza kufanya vizuri zaid.

Wewe unawaza, tamania, kuandika na kuhamasisha ngono..rubbish!
Mkuu inawezekana kwake yeye muda wa kutafakari hayo ulishapita au haujawadia. Unataka pia yeye afuate ratiba yako?

BTW hakuna kibaya alichoandika hapo, labda kusema Kwamtogole kakukera mkuu.

CC Sky Eclat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…