Love life circle...

Hujui maana ya ngekewa au unani-weigh (unanipima)???

Babu DC!!

sio tu ngekewa yaani sentensi yote sikuielewa, sikupimi babu kweli nieleweshe ulichomaanisha. Si unajua kuuliza ni nusu ya kufahamu na si ujinga?
 
Katika mapenzi kuna kusamehe, kusahau na kuanza upya,, nanyi ndo mmefanya hayo hongereni.....
 
sio tu ngekewa yaani sentensi yote sikuielewa, sikupimi babu kweli nieleweshe ulichomaanisha. Si unajua kuuliza ni nusu ya kufahamu na si ujinga?


Haya basi,

"Bahati haiji zaidi ya mara moja...."

Umefurahi sasa??

Babu DC!!
 
hahahaaaaa asante rafiki yaani sasa ndo nimejua umuhimu wake baada ya kumpoteza kwa kipindi kirefu.

Alikuachia bei gani wakati anasafiri?
watu8 aliisha onya haya mapenzi y kurudiana sababu ya pesa ahahahaha!

Angekuwa jamaa kachoka na ndiyo binti karudi toka New York anang'aa ma-brothermen wote mle ukumbini wanamtolea macho unadhani angekaa hata moja na huyu X wake aliyechoka?Thubutuuuuuuuu!

Dada karudi kakuta jamaa yupo njema kwenye bank statements zaidi alivyo muacha mwenyewe kapeleka ngozi ahahaha!
 
Last edited by a moderator:
Haya basi,

"Bahati haiji zaidi ya mara moja...."

Umefurahi sasa??

Babu DC!!

Hapo nimeelewa babu asante na nimefurahi sirudii tena kuondoka mautamu yote haya niliyaacha kwa hasira zangu na kuweka maudhi moyoni badala ya furaha na upendo.
 

hongera mate! Huo uhusiano haukupangwa uvunjike bali kuna setting zilikuwa zinatake place 4 better love, safi sana!
 
Dah.......mi nikigombana na hubby nakimbiliaga huko kijijini.......akija ananikuta huko mndeny......nakata makocha.....nipo na mrasho wangu sina wasiwasi........

Cc... Nivea....
hahahahaha Preta unanichekesha
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…