Love life circle...

kwa obama yupi, kuna rafk angu anaitwa obama anakaa magomeni.
 
Kuna mtu mmoja naye huwa anataka kurudi kwa jamaa yake ila proudness zake huwa zinamwangusha,anakufa na kamba shingoni,bora wewe dada umekuwa mkweli,umekubali makosa,nobody is perfect in this world,
 
we piga puff mbili za bange maswali yote yatapotea na utakuwa na majibu mengi kuliko maswali.
Am back ila.................... not like before. Kilichokufanya u faint ni nini? umeona mzuka au kibwengo??

Hiyo ni bangi walahi..sikudhamiria ku-faint...nilitaka hiki😎.

not like before inamaanisha!??
 
Halafu wewe si uliaga humu kuwa hutarudi tena?

Mara nataka sitaki, nataka sitaki, mbona wewe kisebusebu?
 
Halafu wewe si uliaga humu kuwa hutarudi tena?

Mara nataka sitaki, nataka sitaki, mbona wewe kisebusebu?

na kiroho papo,niishie hapo nikikujibu inavopasa utanfanyia zile habari zako nami staki yafike huko usije ukauwa lawa firm yako buree ukajuta mie kurudi jamvini.
 
Hiyo ni bangi walahi..sikudhamiria ku-faint...nilitaka hiki😎.

not like before inamaanisha!??

not mentali kwa sanaa maana hiyo pia ilichangia kunitoa kwangu ntakula bange ila nikiwa na hubby huku ntakuwa soba all the time. Niko mdogo mdogo not kama ile nilivokuwa mwanzo, hope u r good cheers kwa metali wenzako wengine.
 
ok hapo nimekusoma dear..utunzane na mwenzako vizuri sasa till death.....
 
not mentali kwa sanaa maana hiyo pia ilichangia kunitoa kwangu ntakula bange ila nikiwa na hubby huku ntakuwa soba all the time. Niko mdogo mdogo not kama ile nilivokuwa mwanzo, hope u r good cheers kwa metali wenzako wengine.

Nihakikishie hujaja kwa ubaya, otherwise nivae kabisa bullet proof yangu.
 
Mapenz sometimes yanachekesha ni kama mtu anakwepa kuvuka mfereji anaenda kukutana na bahar mbele then hawez tena kurud alipotoka!
 
Nihakikishie hujaja kwa ubaya, otherwise nivae kabisa bullet proof yangu.

hahahaaaaaa
am not like that am very polite and kind hata fimbo tuu siwezi chapa labda mtoto wangu
 
hahahaaaaaa
am not like that am very polite and kind hata fimbo tuu siwezi chapa labda mtoto wangu

Naogopa sana watu ambao ni very polite, humble, n.k. Hatareeeeee sana hawa!

Mfano, inadaiwa na kijivo1234 kwamba Mushi alikuwa "very humble and polite man".

Lakini pamoja na u-polite wake wote bado aliishia kufanya aliyofanya.

Some claims that politeness has always been used as a tool of oppression.

Sometimes politeness huwa inatumika ku-silence watu. Rejea jinsi ulivyojikwaa kwenye ngazi.

Politeness can also be curse to building a consensus.

And you should not confuse being a polite with being a respectful, considerate as well as a common decent person.

Unaweza kuwa very humble mpaka kujikwaa kwenye ngazi, lakini ukiwa kwenye sehemu ambayo ni tambarare unaweza kuwa ni balaa tupu wewe!

In other words, you can use your good manners to dress up a contemptible idea or mission if you know what I mean. lol.
 
aaah mainglish hayo mie napata shida kutafsiri kuja kiswahili weka simplified basi. Its good toworry hata mie hiyo tabia ninayo na imekuwa ikiniepusha na mengi. Ila kusema ukweli ujumbe wako sijaupata rudia tuu kunielewesha sijaelewa hata kidogo nini umetaka kuniambia na nini umemaanisha.
Naonea huruma law firm yenu.


 

Hongera sana!!!
 

Mkuu umeongea kweli kwa 1000%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…