Love life circle...

Aisee so romantic jamani kama mchezo wa kuigiza! I am happy for you that you guys sort it out!!
 

Huyu ndio yule aliyekuzuia kuja jamvini??.......lol!

Kila la kheri na mahusiano yenu!
Yadumu milele!
 

Dah kama ni kweli wewe ni mwanamke, lovely and forgiving! Mungu awabariki.
 
Dah.......mi nikigombana na hubby nakimbiliaga huko kijijini.......akija ananikuta huko mndeny......nakata makocha.....nipo na mrasho wangu sina wasiwasi........

Cc... Nivea....
Mdogoake mimi.... Next time mkigombana ntakupeleka kwa malkia...
 
Last edited by a moderator:

Old flames never die......Home
 
Lol..! I thought you'd never come back to JF...
Kumbe it was this mother***** who was spoiling the show!
Welcome back dada!
 
Enjoy

Chezea mapenzi wewe

Mumeo akusindikize hadi room halafu urudi kwa obama? Thubutuuuuuuu


Furahia ndoa yako mwaya
 
Dhaifu kabisa wewe...umekosa soko unajidai mai habi...hivi una umri gani???
 
Huyu ndio yule aliyekuzuia kuja jamvini??.......lol!

Kila la kheri na mahusiano yenu!
Yadumu milele!

ndo yeye na si kuwa alinizuia ila alinifanya niondoke TZ kabisa hata ile ya kusema naenda kwa Obama was getting out of my marriage thank God nimepata chance ya ku learn my mistakes na sitarudia tena. Kweli mkishatamkwa mwili mmoja kuna kitu huwa kinaambatana nawe hata ukimuacha angali hai atakuwa anaishi tuu moyoni mwako. He was in me and I was in him all the time we were apart.
 
Enjoy

Chezea mapenzi wewe

Mumeo akusindikize hadi room halafu urudi kwa obama? Thubutuuuuuuu


Furahia ndoa yako mwaya

hahahaaaaa asante rafiki yaani sasa ndo nimejua umuhimu wake baada ya kumpoteza kwa kipindi kirefu.
 
Lol..! I thought you'd never come back to JF...
Kumbe it was this mother***** who was spoiling the show!
Welcome back dada!
Hahahahaaaa,
am back best, but sio kiviiileeee now ntakuwa nadonyoa donyoa tuu. Tusingetengana siajabu ungekuta tunahali mbaya kiroho ila kutengana kwetu kumerejesha upya kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…