Nikiona mtu ameanzisha uzi wa simulizi/riwaya naangalia kwanza kama huwa ana historia ya kumalizia story
Huyu kwa historia yake nam rate 0.5/10
Yaani hamnamo mtu
Ni takataka
Ni mtoto
Haeleweki
Anajifurahisha
Sio msimuliaji
Amevamia fani
Hajui
Anakurupuka
Hajifunzi kwa wengine
Anatafuta fame
Anatupotezea muda
Hajui anachofanya