Love in time of torture

Wakati nasoma hiyo stori neno moja tu limenijia nalo ni "the power of love"[/QUOTE] Yeah, wanasema power of love can break anything and tolerate any pain
 
Its very interesting story and kwa watu wanaojua kupenda,ths is the true love

ahh nyie nao mnajishauaaaaaa mi mnaniboa...asi mtupe samar sasa io stor inasemaje

kwanza chngereza apa nehi afu ndefu afu mnatapatapa tu apa nzuri..mara inavutia...semen inahusu nin!!!!!!!!
 
Ntakusimulia baadae tukikutana tena kama jana..si unakumbuka pale tulipokutana, ngoja nichukue kamusi kwanza hapa nikutafsirie ili iwe rahisi kukusimulia baadae
 
bado nakusubiri mjomba...aujamaliza kupekenyua io dikshenar?
 
Back
Top Bottom