MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,073
hahha yananini kwani... mmezidisha na nyie na huruma zenu!!!!
Nakwambia hizi ni zaidi ya huruma ***** yani heeeee
hahha yananini kwani... mmezidisha na nyie na huruma zenu!!!!
Aiseee............
hakunaga ile toa nijitoe siku hizi......
Umeona eeeh yani kama unajitoa wewe jitoe on your own risk ila kusema unajitoa na yeye atajitoa hilo kwa wachache wengi wetu tunaumizwa daily
Yaan hapa tatizo linaweza kuwa upande wa pili, wewe umeweka real commitment lkn mwezako hilo kwake halipo na ndipo hapo tatzo linapoanza. moyo wa mtu ni kichaka huwez jua lipi amedhamiria juu yako..