LOVE CAN BE SO CRUEL! Yamkuta Mazito Senior Bachelor Alietaka Kuoa Kwa Crush Program

Ok, lakini wapo pia wanawake wanaochezea wanaume tena wao ndio anao ongoza kuwaumiza wanaume kuliko wanaume kuwaumuiza wanawake,na nyie mjue hilo kila tendo unalotenda lina zaa, na linakuzalia kilekile ulichotenda.
 
Bado sijaelewa vizuri kwanini bidada aliamua kumfanyia hivyo baba la baba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom