Love bites na karaha zake

jidai kuona nakuzingua utaamini siku utakapougua kichaa cha nnje. Unamng'ataje mtu ambae anakataaa? jielewe mkuu
 
Heheh kila mtu na ugonjwa wake, by the way nimependa unavyojiamini hasa hapo uliposema "sioni kero au aibu kua nazo shingoni"
Ndio sioni kero wala aibu! Mimi kikubwa nikimridhisha mume wangu basi,walimwengu acha wakodoe macho tu,watakuangalia watakonyezana,watacheka na Ku gossip lakini jukumu langu mimetimiza! Love bites hutumika kupima ukali wa mechi
ukiona hazijatika basi mnajua kabisa mlicheza kiwango cha chini
 
Kabla hamjaanza mechi hakikisha anajipaka sumu ya panya shingoni, baada ya Hapo Unaweza kuendelea na mechi!
Ushauri:
 
Kabla hamjaanza mechi hakikisha anajipaka sumu ya panya shingoni, baada ya Hapo Unaweza kuendelea na mechi!

Ushauri:
na kweli ni kwa neema tu mtu kupona hapo
teh
 
Uwe una mloweka baada ya tendo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…