BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
Yule mpenz wako wa humu anayekusifia una mapafu ya punda sijui unakuandikia na shairi hujaridhika naye?,au ni id yako ileYou make my sad disappeared with your beautiful and charming words
Kifuani hazionekani...Mmmh? Kuna sehemu hazionekani? Kama hazionekani anaekuweka anazionaje?
Lengo halitatimia! Watu watajuaje kama unazo? Hivi Mwanamke mweusi nae anawekwa bite? Wapi?Kifuani hazionekani...
Wanakua wanazisikia tu kwetu.Lengo halitatimia! Watu watajuaje kama unazo? Hivi Mwanamke mweusi nae anawekwa bite? Wapi?
Unaonekana kama na vinasaba vya kichaa cha mbwa,sasa kama hazitaki na anapata shida kutazamwa unamng'ata nini? msije na mada za kipuuzi hapa unafanya jambo linamuuzi mtu halafu unatuuliza sisi sasa tufanyeje wakati mhusika mwenyewe anakataa.Wasalam wakuu,
Bila kupinda pinda ngoja niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu,
Ninapokuwa faragha na shemeji/wifi yenu huwa anapenda sana neck kisses and other romantic kisses, rangi yake yeye ni ya mtume from Dubai (Mweupe).
Sasa baada ya tendo lile pendwa akitoka hapo shingo yote inakuwa haitamaniki kwa love bites huwa anapata sana wakati mgumu anapotaka kwenda kwenye mishughuliko yake na mara nyingi anaishia kunilaumu mimi kutokana na karaha anazopata akiwa huko kwenye mishuguliko yake ya kila siku kwani wadada wenzake humzonga kwa maswali na wengine huishia kumtazama siku nzima kwenye shingo yake kitu ambacho kinampa kero.
View attachment 637574
Shida yangu ni moja kujua kama kuna any means unaweza kufuta zile love bites kwa muda mfupi maana humchukua siku 3, 4 kufutika au kama kuna technic ya kuzuia hizi love bites zisitokee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ile inatokea automaticallyHivi huwa ni msisimko au ukichaaa
Kwani kupata Love bites lazima ung'atwe? Ukiwa na rangi alafu mumeo akakufanyia kiss ya kunyonya shingo tu unapata love bite si lazima ung'atweUnamng'ata?kwani vampire
Samahani bwana LuckDube ww na Ukhuty mna kaundugu ?Kheri kinga kuliko tibaKanunue teeth protector uwe unaweka kwenye meno kama mabondia
Hapana mkuu,Samahani bwana LuckDube ww na Ukhuty mna kaundugu ?
ukiwa kwenye mtanange kuwa na bigijii nyingi ukitafuta katika mchezo.utasahauWasalam wakuu,
Bila kupinda pinda ngoja niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu,
Ninapokuwa faragha na shemeji/wifi yenu huwa anapenda sana neck kisses and other romantic kisses, rangi yake yeye ni ya mtume from Dubai (Mweupe).
Sasa baada ya tendo lile pendwa akitoka hapo shingo yote inakuwa haitamaniki kwa love bites huwa anapata sana wakati mgumu anapotaka kwenda kwenye mishughuliko yake na mara nyingi anaishia kunilaumu mimi kutokana na karaha anazopata akiwa huko kwenye mishuguliko yake ya kila siku kwani wadada wenzake humzonga kwa maswali na wengine huishia kumtazama siku nzima kwenye shingo yake kitu ambacho kinampa kero.
View attachment 637574
Shida yangu ni moja kujua kama kuna any means unaweza kufuta zile love bites kwa muda mfupi maana humchukua siku 3, 4 kufutika au kama kuna technic ya kuzuia hizi love bites zisitokee.
Okay naona umerudia kwenye avatar yakoHapana mkuu,
Kwa nini umeuliza mkuu
Unaonekana kama na vinasaba vya kichaa cha mbwa,sasa kama hazitaki na anapata shida kutazamwa unamng'ata nini? msije na mada za kipuuzi hapa unafanya jambo linamuuzi mtu halafu unatuuliza sisi sasa tufanyeje wakati mhusika mwenyewe anakataa.
I just real like love bites kwa kweli, na huwa sioni kero au aibu kua nazo shingoni, macho ya watu yapo tu hata iweje watayatoa as far as nimeolewa hivyo tendo watakalokua wamefikiria baada ya kutoa macho yao kwangu ndilo litakalokua limefanyika