Ndio maana, kuna ishu niliipata nikakucheki mshikaji wangu wa nguvu aah sikukupata, kuja jf nikakuta una ban ya nguvu nikasema heeeh wamem ban hadi kwenye simu ama nini.
Kuna binti ana hiyo tabia hasa akiwa anafika kileleni...imebidi niwe naweka shingo yangu mbali kuepuka hizo mambo.
Na alivyokuwa mwehu tukishamaliza anajifanya kunishangaa hizo alama nimeng'atwa na mdudu saa ngapi smh!