CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Bora unisaidie sosoliso....huyu charminglady kila nikijieleza anaishia kumtaja Paloma....khaaaaa
Get over heeeeer.....
Wewe charminglady una nini nami..? Vin Diesel na Paloma wapi na wapi..?
Paloma yupo kajaa telee.. muulize huyo charminglady anataka kukunyima nini..?
Paloma alikuonjea chakula chako tu....sasa kakuachia kila kitu ila wewe wamuwaza yeye tu....tutafika kweli?Unajua Paloma ndiye aliyeingilia penzi langu mimi na wewe yaan siwezi kumsahau maishani mwangu!!!
haya simuwazi tena,................
Guud...so whats next
Mi napenda lakini love bite jmn,japo isiwe too much..
Mm napenda lkn sehemu ambazo hazionekani na wengine nikitazama namkumbuka honey wangu
Msamehe bure mke wangu huyu.. Unajua wakati huo alikuwa anatafuta so alipita kwa Vin Diesel.. Uzuri akaona bado hajafika ndo akaja kwangu na mzigo akautua..
Mtunze mwenzio bana.. charminglady anastahili mahaba sio karaha..
Hivi ukiona chakula kimetengwa mezani huwa unakifanyaje vile???