Love bite

Mahaba nilinde kwa jeshi kama ccm sijiwezi!
 

Ha ha haaa haaaaa MAHABA NIVURUGE KAMA BUNGE LA KATIBA.
 
Ahahaha love bite kama ni hii niifamuyo mimi huisha baada ya siku moja bana hata alama haionekani kabisa...i guess mshikaji anang'ata kabisa!!!


Mahaba gani hayo ka chanjo ya polio!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…