Love bite

Hiyo ni mizuka ya kijin jaman mapez na stareh gan kungatana mwilin c hasha anataka amle nyama huyo
 
hahaha mahaba nikamue kama tui la nazi

hahahahhaha Dilekeni umenchekesha sanaaaaaaaaaa,,,,,,,,,,,,jaman waswahil tuna maneno sana,,,,sasa ukikamuliwa kama tui la nazi si ndo utabaki machicha tu ndugu yangu
 
Last edited by a moderator:
hahaha mahaba nikamue kama tui la nazi

hahahahhaha Dilekeni umenchekesha sanaaaaaaaaaa,,,,,,,,,,,,jaman waswahil tuna maneno sana,,,,sasa ukikamuliwa kama tui la nazi si ndo utabaki machicha tu ndugu yangu
 
Last edited by a moderator:
Kama ni shingoni kama love bite nyingi zilivyo, mwambie avae sweta la pola neck.
 
Muulize lara1 Huwa Anatumia Nini Kujikinga
 
Last edited by a moderator:
masai dada tangu upate mchumba wa temporary una mbwembwe
 
Last edited by a moderator:
Hah!! Akishafanana na kombati ataanza kumnyanyasa akijua keshamchakaza ngozi!


Hahahaha...eti kombati...atakuwa na mabaka kama buti la mgambo....ila huyu jamaa ana dalili za kuwa vampire....sio bure
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…