Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,745
- 182,818
Koma we mzee!Nimeyamiss lakini..
Koma we mzee!Nimeyamiss lakini..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1312][emoji1312][emoji1312] kamati ya roho mbayaMtaachana tuuu narudia tena mtaachana tuu
It's all about time
Na utaachwa tu,tena ikikupendeza ulete na mrejesho!
I have nothing to lose,and I'm not serious in such ,so relax dadaAcha makasiriko binti
I have nothing to lose,and I'm not serious in such ,so relax dada
Kastory katamu i can't imagine kama angepanda Bus tofauti na lako, ungeishia kumuona yulee dah. Hongereni sana na mfikie lengo lenu.
Mungu ni mwema,thanks financial services 😊Kastory katamu i can't imagine kama angepanda Bus tofauti na lako, ungeishia kumuona yulee dah. Hongereni sana na mfikie lengo lenu.
😂 haya thank you mkuuKakomenti katamu.. 😋
I can't imagine ingekuwaje kama ningemaliza kusoma huu uzi bila hii komenti..
Ningeishia kupoteza muda huooooo!
Thank you for making this thread a worthwhile.
Sana,mimi huwa napendaga...tena huwa napendaga ile sanaKumbe na nyinyi nanyi mnapendaga
HahahahahahahaKuna watu walikua wanakuwinda humu 24 seven umewakata maini Waaaalahi
Ipo siku,have faith...Na mimi si atokee mmoja jamaniiiiiiiiiiiiiii
HawatawezaMaskini..
Joanah kapata wa kumkojoza ipasavyo.
Mabazazi kazi mnayo kumngoa mtoto huyu.
Asante my dia,mie nimeshindwa kubaki na hii amani peke yanguGood,enjoy your love baby. Nivizuri kutoa yamoyoni wengine humu wanakufa na emotion zao kimyakimya.
Asante Equation xPongezi kwako, binadamu kuwa na hisia ni kitu muhimu
Ehhee..Mara hii nimekuwa mzee..Basi mama..Huchelewi kusema nina kibamia..Koma we mzee!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ehhee..Mara hii nimekuwa mzee..Basi mama..Huchelewi kusema nina kibamia..
😂😂😂😂 hii comment made my night 🤣🤣🤣She's just building a wall around her. Anaamini mafisi ya JF yataacha kumsumbua. Gentlemen, chapeni kazi. Hakuna kukata tamaa. Endeleeni "kurara nae mbere".