Iliwahi tokea,
Nikiwa 4m 3 likizo ya June, bas siku npo tuit class, akaingia mkaka, ile kumuona tyuu, moyo ukafanya "paah" nikiri wazi moyo wangu ukitopea kwake, nkamtazama had alipoenda kukaa, ticha anafundisha mie namkodolea jicho yule mkaka..
Baadae alistuka, maan nlkua namtazama haswaa, hata sikuwa naogopa, nae akawa ananitazama km vile anajistukia, mie nkamkonyeza jicho, mkaka akageukia upande mwingine, pindi lilipoisha, tumetoka nje nimekaa zangu nasoma notes, mara paap jamaa huyu hapa, kaanza kunihoji mbna nlikua namtazama vile, na had kumkonyeza, nilibaki naduwaa, nkamuomba samahani, tukapiga story kdg tukaachana..
Toka pale nikawa namuogopa, na ile kumkwepa, nlikua najistukia mwenyewe, kumbe jamaa alijua, after 3days, tupo kwa pindi la Chem, ticha akatoa test, na akasema top 10 watapewa zawadi, siku ya 2 baada ya tokeo, mie nikawa no 7, yeye hata hakuwepo, baada ya kutoka ktk pindi, nimekaa niko buzzy mara akani join, akanipongeza, tulipiga story kwa uzuri, kwa kifupi mapenzi yalianzia hapo, kiukweli nili enjoy mnoo, sijawahi juta kumfahamu, but kuna time ilifika tuliachana. 😢😢