Heshima kwenu,
Nahitaji kupata gari iwe Lori itapendeza zaidi.
Nina kamzigo kadogo nataka kusafirisha kutoka Tanga mjini kwenda Morogoro mjini au Ifakara.
Mwenye roli/fuso linalokuja Tanga kuchukua simenti au kuleta mchele nk naomba tuwasiliane.
Mzigo ni wa vitu visivyovunjika kwa urahisi kwenye ubebaji.
PM iko wazi.
Asanteni!