Jamani inawezekana mwenzetu yupo serious tunakalia mijadala ambayo haina muafaka.
Nyalotsi - Hiyo ndio age & vigezo nilivyo vitaka mimi. Kama wewe ulichukua tu mwenza wako bila kuangalia chochote ni maisha yako. So, i guess choice yangu wala haikuhusu. Jamani; tuache negative thinking. Hata nikikosa au nikaenda kuchezewa ni mimi. Sioni inawauma nini watu wengine humu ndani!
Hello my fellow JF Members,
Mimi ni msichana mwenye miaka 33, msomi, na ni muajiriwa Serikalini. Carreer-wize I am doing ok but I think its about time I meet my future husband & soulmate wangu.
I would like him Awe na umri kuanzia 33-45,awe mrefu, mwili wa wastani, rangi it doesnt matter, awe na kazi, na awe mcha Mungu. Kama una vigezo hivyo muhimu.
Please feel free to PM me
Asante
duu miaka 33 huna beib?