Looking for gentleman

Wanaume wenzangu jamani tupunguze kujirahisisha kwa wanawake .. Dunia imebadilika sasa kwanza tuko wachache... Turinge hata kidogo bac ... Naamini ingekua ni mwanaume ameleta huu uzi hapa commnts zingekua 10 mpaka muda huu... Haya mambo ya kizamani bana tuwaachie nao zamu yao ya kurusha mawe juu ya bati.. Ushauri kwa dada a real gentleman hapatikani kwa staili hii... Hao wote waliojiongeza hapa ni team Mafisi tuu.. Wanakula mpaka Viatu.
 
anhaa vizuri..kweli wanaptkan sana tu ila sijajua atitude yako na back ground yako ..maana kwa sasa cio mapenz na ukweli ninaweza nikaitkia ndio and then at the end inakua maumivu tuu,na nia na sababu inayokufanya utafte uko nayo mwenyew ..bt if you real kile unachokihitaji post your phone namb whatsup and then we will continued..
 
Hebu kuwa wazi ,ni mambo yepi ya baadae?..wengine mnakuwa mmesha watoto sha halafu mwatafuta wa kuwalishia.
 
Huku wengi ni vichoshoo bora ukutane na kurumbembee kwa mama Muuza gongo than huyu wa hapaaa maana ataishia kukuchungulia japo si mbayaa alafua baadae akawa kichoomii...

Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…