Looking for an English and Kiswahili teaching job!

Boniphace17

Senior Member
Jul 19, 2012
118
42
Jamani wanafamilia wa JF,
Mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza ya Elimu (BA in EDUC) kutoka ktk chuo kikuu cha Arusha.
Nikiwa nimejikita ktk kufundisha masomo ya English
na Kiswahili.
Kwa yeyote mwenye taarifa juu ya taasisi yoyote (shule au chuo) yenye uhitaji wa huduma yangu anifahamishe kupitia 0714454149 au 0684914811.
n guys from my
heart, i'll never know how
to thank u.
 
I put up a similar post about 3-4 weeks ago, but no prospective employer even bothered to contact me; maybe they don't read this forum.
 
Lets jus keep holding on dude...and it'll one day be YES...Isn't that right??
 
Door to door campaign English Medium/International Schools za Dar es Salaam. Walimu wengi wana tabia ya kukimbia mwisho wa mwaka (July/August). Visit the schools personally to drop off your CV. You might get lucky.
 
Thanks a lot, it really means a lot to me!
 
By the way shule nyingi haziwezi ku-afford viwango vipya vya visa/work permit. Uhamiaji wasipolegeza kamba kutakuwa na mass exodus ya walimu wageni shule nyingi. Peleka CV mapema. Tatizo ni kuwa vijana wengi wanaziogopa shule hizi za English Medium. True international ni chache sana na hata hivyo pia wameajiri walimu wengi wabongo km ist,ism,DIA. Zingine ni local schools with international curriculum streams.
 
U 're right..n all we need 2 do is just wake up ili twende sawa na hii world transformation!
By da way nimeipenda ''mass exodus''..
Pa1 sana!
 
Back
Top Bottom