Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,197
Kwa akili yako umri na picha unadhani kipi ulitakiwa ukiweke hapa kutuvutia??
Mna maswaliiii hamwachi mwali akapumua😀
Kwa akili yako umri na picha unadhani kipi ulitakiwa ukiweke hapa kutuvutia??
Hi my name is Princess aged 31 looking for a serious male friend, am a single mother and i am in need of single dad so that we can make a good relationship.
Ukizidi sana 26yrs dogo, sizibi chance yoyote...Huyo atakubemendu, watch out wadada wa town!!!Haha. Naona umeamua kuzima chances zangu zote kabisa bro. This life.
bado tu hujapata tangu uanze kutafuta best, niPm tuendeleze tulipoishiaga byb wng
Baba wa mtoto yuko wapi?
we kabila gani?dini gani?
A m occupied dad looking for serious single mother aged 30 - 40 to make relationship. If you are interested PM please.
Single mother hapana tafuta mwanaume aliyefiwa na mke wake labda utabahatisha.Mwanamke akishakuwa na mtoto ni majanga.
Imani zingine bwana dah! ubinafsi mwingi, fikiri tofauti
Pia watu wanatofautiana sana
We ndo una akili finyu
makabila yanasaidia kujua tabia za mtu
mwanamke wa kizaramo sio sawa na wa kijaluo...
Damn now I'm 60+ kweli nimepitwa na bahati hii..
Ngongo kwa hiyo unapingana na metha...inayosema ukipenda Boga penda na uwa lake?Single mother hapana tafuta mwanaume aliyefiwa na mke wake labda utabahatisha.Mwanamke akishakuwa na mtoto ni majanga.