Looking for a male friend age 45-55

Looking for a male friend age 45-55

31 unatafuta male wa 45 and 55, hao ni wazee sana. Hawatakidhi haja zako za kimwili.
Hata kama upo desperate, subiri usiwe na haraka utapata wa age yako.
 
Kwenye RED kwani amekwambia anataka kufanya tambiko ama kuswalisha? Hivi nyinyi watu bado mpo wakati huu dunia imekuwa kijiji?

Ni muhimu kwa kubashiri ukeketwaji! haha haha haha!
 
Kwa kigezo cha Umri Natangaza rasmi kuwa Nimeikosa fursa
 
Ahsanteni wote mlioshiriki, umri huo naamini kabisa huyo mpendwa atakua tayari kuwa na mimi, hawa wengine tulio umri mmoja naona bado wanatafuta. Samahani kama nimemkwaza mtu jamani hayo ni mawazo yangu, kwa kile nnachohitaji
 
Kwa akili yako umri na picha unadhani kipi ulitakiwa ukiweke hapa kutuvutia??
 
31 unatafuta male wa 45 and 55, hao ni wazee sana. Hawatakidhi haja zako za kimwili.
Hata kama upo desperate, subiri usiwe na haraka utapata wa age yako.

Usimdanganye mwenzio. Wengi uwadhaniao wewe hamna kitu. Kutwa kula chipsi mayai na kikeaha club.Hiyo age bracket yake ndio saafi.
 
Ahsanteni wote mlioshiriki, umri huo naamini kabisa huyo mpendwa atakua tayari kuwa na mimi, hawa wengine tulio umri mmoja naona bado wanatafuta. Samahani kama nimemkwaza mtu jamani hayo ni mawazo yangu, kwa kile nnachohitaji

Nimekupenda buree.... mwaaa!
 
Kuna watu wao utadhani malaika, wanajua kuponda topic za wenzao tu, wewe hujui kufariji wengine, hujui kuwapa miongozo upo tu humu kujibu hovyo na kutukana. Kwani are you perfect? Huna matatizo na ww usaidiwe? Jichunguze sana ujijibu mwenyewe kama ni wewe nitukane tena!
 
Hi my name is Princess aged 31 looking for a serious male friend, am a single mother and i am in need of single dad so that we can make a good relationship.

Damn now I'm 60+ kweli nimepitwa na bahati hii..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom