Looking for a friend/future partner/sponsor

Stop plagiarism nigga!!
Chochote wanadamu anachofanya au kusema kilishasemwa au kufaywa na watu wengine aidha unawajua au usiwajue bt kilishafanywa au kusemwa cc so we are all plagiarism coz thre is nothing new under the sun cc
 
Ndio nini hiki umeandika
 
Mdada
26 yrs
Masters holder
Tall 179 cm
73 kg currently
Mweupe wa kawaida
Mwajiriwa
Christian
Beautiful with brain

Mwanaume awe
From degree kuendelea
Mrefu kama mimi
Awe mfanyakazi/mwajiriwa/mfanyabiashara
Christian
Age from 30-45
Whether ana mtoto au la ila asiwe na uhusiano na baby moma wake

Kama tutaamua kuwa wapenzi aniruhusu niendelee na Phd baada ya mudaa fulani as i have planned, kama ni Sponsor i promise sitakucheat .

Nb: Kama huna hivyo vigezo plz usije pm, nenda kwa wenye vigezo kama unavyotaka wewe. Kupanga ni kuchagua!!!

Nawasilisha

Just PM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom