Looking for a friend/future partner/sponsor

Dah.... Mdogo mdogo...vigezo na masharti vitaanza kupungua...baada ya wapita njia kuzidi... Baadaye kutakuja kuasili mtoto.... Why..... Mnavunja Kanuni za asili kabisa
 
Mpango wa asili wa Mungu si wa vile unataka mdg angu, iyo ni akili yako unakudanganya na utapata kile unataka ispokuwa matatizo tu na masters yako ya ujinga.
Masters yangu ya ujinga wewe inakuuma nini? Kwani nimekuomba ajira?
 
Unajua maana/sababu ya Phd zenye Utata?
Ndio najua na moja yenye utata ni pamoja na masters yako na kama utafanikiwa kupata PhD itakuwa na utata pia kama unatafuta vyeti vya PhD sawa lakini kichwani utakuwa tabulasa mtu yeyote msomi si kuwa na vyeti tunataka tuone usomi wako ktk utendanji wa field uliyosoma na ndo maana kuna kitu kinaitwa Experience aiwezeni mtu ana masters lakini ujawai kuifanyia kazi sehemu yeyote ww utakuwa unamiliki vyeti tu heshima ya kile ulichosomea ni uwezo wa kujua vizuri kile ulichosomea kwa vitendo si kuwa na vyeti tu na sehemu yeyote wanayotangaza kazi kwa elimu ya kiwango cha masters na phD ni lazima watake mtu mwenye Experience

Pia unaweza kusoma kwa kutokutegemea kuajiriwa sawa lakini kuto kuajiriwa hakuondoi thamani ya masters na ww kuwa na masters with zero Experience ni sawa na dereva mwenye leseni lakini hajawai hata kuendesha gari then akajitamba kuwa ana class C ya udereva

Pia nakutakia mafanikio mema ktk mkeka wako maana option uliyotumia ya kutafuta mwenza mtandaoni ni option ya mwisho ktk utafutaji mweza so ni kama unabet ndo maana nakuombea mkeka wako usichanike maana ktk kubet unaweza mpiga muhindi au muhindi kukupiga wewe
 
Ndio najua na moja yenye utata ni pamoja na masters yako na kama utafanikiwa kupata PhD itakuwa na utata pia kama unatafuta vyeti vya PhD sawa lakini kichwani utakuwa tabulasa mtu yeyote msomi si kuwa na vyeti tunataka tuone usomi wako ktk utendanji wa field uliyosoma na maana kuna kitu kinaitwa Experience aiwezeni mtu ana masters lakini ujawai kuifanyia kazi sehemu yeyote ww utakuwa unamiliki vyeti tu heshima ya kile ulichosomea ni uwezo wa kujua vizuri kile ulichosomea kwa vitendo si kuwa na vyeti tu na sehemu yeyote wanayotangaza kazi kwa elimu ya kiwango cha masters na phD ni lazima watake mtu mwenye Experience

Pia unaweza kusoma kwa kutokutegemea kuajiriwa sawa lakini kuto kuajiriwa hakuondoi thamani ya masters na ww kuwa na masters with zero Experience ni sawa na dereva mwenye leseni lakini hajawai hata kuendesha gari then akajitamba kuwa ana class C ya udereva

Pia nakutakia mafanikio mema ktk mkeka wako maana option uliyotumia ya kutafuta mwenza mtandaoni ni option ya mwisho ktk utafutaji mweza so ni kama unabet ndo maana nakuombea mkeka wako usichanike maana ktk kubet unaweza mpiga muhidi au muhindi kukupiga wewe
Unaonaje ungeanzisha thread yako?
 
Wanawake Mungu anatuona. Umesoma, una kazi yako, afya yako, bado unataka sponsor.
 
Unaonaje ungeanzisha thread yako?
Hahahahahha sister nimejibu swali uliloniuliza na pia msomi aliyesoma kweli na kuelimika awezi kupanic pale watu wanapo mchallenge kidogo ..... ondoa kigezo cha elimu weka kigezo cha kumiliki vyeti tu,nije PM na vyeti vyangu vya Zoom college maana naona soon utakuja na thread za ..I hate love ,,bla bla bla bla bla......hatutaki kusikia .
 
Sasa hapo umenichallenge nini sasa, na wala hakuna ulichojibu i just ignored you!!!
 
Naona umeenda kucopy google vya Pythagoras sasa mbona huja m-cite
Akili yako ndo inajua google tu ndo vitu vyote vinapatikana ?? je tungekuwa china ambapo hakuna google ungesema nimetoa wapi???? wake up cc
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom