Look like free and fair election is elusive everywhere including the USA

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,014
Reaction score
6,834

Zoom in​

Cohen admits to stealing from the Trump Organization: During the defense’s cross-examination, Trump’s defense attorney walked Cohen through a series of payments the Trump Organization made to him in 2017, totaling $420,000. Cohen testified that RedFinch, a tech company hired to rig online polls in favor of Trump, was owed $50,000 for its services. But Cohen said he only paid it $20,000 and pocketed the remaining $30,000.

“You stole from the Trump Organization, right?” Blanche asked, according to NBC News. “Yes, sir,” Cohen replied.
 
..to rig " online polls " sio sawa na ku-rig uchaguzi.

..online polls wanamaanisha zile kura za maoni / au pimajoto zinazofanywa na vyombo vya habari.
 
Kama kuna udanganyifu na upotoshaji kwenye kura za maoni maana yake uchaguzi siyo free and fair. Ni kama hapa anavyofanyaga Mukandara na taasisi yake.
 
Online poll zinazohusiana na mapenzi au uchaguzi?

..online polls wanazozungumzia ni kura za maoni, au pimajoto, zinazofanywa na vyombo vya habari, kabla ya uchaguzi.

..uchaguzi Mkuu wa Marekani kila jimbo linasimamia kivyake. Sio rahisi kuiba, na sio rahisi kulazimisha matokeo yake. Mazingira hayo ndiyo yaliyomzuia Trump kuwashawishi maofisa wa uchaguzi jimbo la Georgia wamsaidie kupata ushindi.
 
Kama kuna udanganyifu na upotoshaji kwenye kura za maoni maana yake uchaguzi siyo free and fair. Ni kama hapa anavyofanyaga Mukandara na taasisi yake.

..kilichotokea ni sawa na kufanya kampeni kwa hoja za uongo, au kupotosha wakati wa kampeni.

..pia huwezi kusema kwamba hizo opinion polls zimenajisi zoezi zima la uchaguzi kwa maana ya kuandikisha, kupigakura, kuhesabu kura, na kutangaza matokeo.
 
..online polls wanazozungumzia ni kura za maoni, au pimajoto, zinazofanywa na vyombo vya habari, kabla ya uchaguzi.

..uchaguzi Mkuu wa Marekani kila jimbo linasimamia kivyake. Sio rahisi kuiba, na sio rahisi kulazimisha matokeo yake. Mazingira hayo ndiyo yaliyomzuia Trump kuwashawishi maofisa wa uchaguzi jimbo la Georgia wamsaidie kupata ushindi.
Mkuu nimekuliza online poll hizi tunazo ongelea zinahusiana na nini? Mapenzi au uchaguzi?
 
..kilichotokea ni sawa na kufanya kampeni kwa hoja za uongo, au kupotosha wakati wa kampeni.

..pia huwezi kusema kwamba hizo opinion polls zimenajisi zoezi zima la uchaguzi kwa maana ya kuandikisha, kupigakura, kuhesabu kura, na kutangaza matokeo.
Kwa hiyo mkuu kampeni za uongo hazitoshi kuufanya uchaguzi usiwe free and fair?
 
Mkuu nimekuliza online poll hizi tunazo ongelea zinahusiana na nini? Mapenzi au uchaguzi?

..online poll sio uchaguzi wenyewe.

..Ni sawa na kura za maoni kwenye magazeti kama mwananchi, nipashe, etc.

..huwezi kusema uchaguzi wa Tz haukuwa huru kwasababu ya kura ya maoni iliyofanywa na gazeti la nipashe, au kituo cha TV cha Azam.
 
Kwa hiyo mkuu kampeni za uongo hazitoshi kuufanya uchaguzi usiwe free and fair?

..wewe ndio unapaswa kutusaidia kueleza kura za pimajoto zinaathiri vipi zoezi la uchaguzi Mkuu wa Marekani.

..Zoezi zima la Uchaguzi Mkuu wa Marekani liko distributed. Kule Rais hateui Tume ya Uchaguzi. Kila jimbo linasimamia zoezi lake la Uchaguzi na kutangaza mshindi ktk jimbo husika.
 
ulishajiuliza kwa nini zinafanyika hizo polls?
 
..online poll sio uchaguzi wenyewe.

..Ni sawa na kura za maoni kwenye magazeti kama mwananchi, nipashe, etc.

..huwezi kusema uchaguzi wa Tz haukuwa huru kwasababu ya kura ya maoni iliyofanywa na gazeti la nipashe, au kituo cha TV cha Azam.

Understanding the use of polls​

Opinion polls, he explains, are a survey of public opinion from a particular sample group, and as such can be useful in informing politicians about the views of specific groups of people. In practice, pollsters need to balance the cost of polling a large sample against the reduction in sampling error, and so a typical compromise for political pollsters is to use a sample size of 1,000-10,000 respondents.
Polls survey a variety of issues relating to voters’ views on, from specific policies to political leaders’ approval rates. Professor Kuha points out that between elections, “polls act as a feedback mechanism which could affect parties’ policy choices, whereas nearer to an election, they are feedback mechanism on how the campaign is going”.
However, their main use is prior to elections, where politicians use polls as a tool to inform their campaigns and to craft messaging. As such, they are not independent of the political process, Professor Kuha says. Rather, they could also influence voters’ behaviour by affecting expectation about the outcomes of the election.
Source:Why are polls important during elections? | LSE Research
 
ulishajiuliza kwa nini zinafanyika hizo polls?

..kutabiri muelekeo wa uchaguzi.

..Na kuna chaguzi opinion polls zimekuwa on the mark, na wakati mwingine off the mark.

..again, hizo ni pimajoto tu, sio uchaguzi wenyewe.
 
Unakubaliana na mimi kuwa huwa hazifanyiki nje ya mzunguko wa uchaguzi?
 
..opinion poll inaweza kuwa kuhusu jambo lolote la kijamii, kisiasa, kiuchumi, etc.

..sio lazima ifanyike wakati wa mzunguko wa uchaguzi tu.

..pia uendeshaji wa opinion polls hauwezi kutumiwa kama kigezo cha uchaguzi kuwa huru na wa haki au la.

..kwa maneno rahisi, wanaondesha opinion polls, sio wanaosimamia uchaguzi.
 
hizi za kwenye kesi ya Trump ziko kwenye muktadha upi?
 
Back
Top Bottom