Looh huu mchezo naupenda

Kuwashwa ni tatizo - Ugonjwa....unatakiwa upate matibabu.
Hiyo Nta haiwezi kutoka nje vingenevyo uwe unaumwa.
Vinginevyo ukijenga tabia ya kulichokoa litakuwa linawasha kila mara halafu utakuwa unalikuna mwishowe utajikuta unafurahi na kucheka kicheko kinachotia shaka kama cha Huyu bwana aloletwa na masai dada.

hahahahahha mpaka unajikunja kwa utamu
 
Last edited by a moderator:
aa...mm sio wa kujiingiza vijiti..ila kama mtu anatka nimuingize miti (masikioni) namuingiza, halafu namwaga (uchafu wa sikio) nje
 
nimekoma kabisa kufanya hivo. juzi juzi tu liliweka stiki sikioni kutoa nta stiki ikapitiliza, sikio liliuma wiki mzima
 
Kuwashwa ni tatizo - Ugonjwa....unatakiwa upate matibabu.
Hiyo Nta haiwezi kutoka nje vingenevyo uwe unaumwa.
Vinginevyo ukijenga tabia ya kulichokoa litakuwa linawasha kila mara halafu utakuwa unalikuna mwishowe utajikuta unafurahi na kucheka kicheko kinachotia shaka kama cha Huyu bwana aloletwa na masai dada.

Mkuu kwa matumizi nnayoyaona siku hizi kupitia masikio jitihada za kusafisha zimeongezeka kwa kasi sana!ila mauchafu yakizidi yanaharibu muonekanoa.
 
Last edited by a moderator:
Sikio lina msisimko wake
Usiporembua unafumba kabisa jicho?LOL
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom