Looh huu mchezo naupenda

Hiyo nta ni party ya mahitaji ya sikio kujikinga so inatakiwa iwepo unless inapozidi kutokana na ugonjwa nk....kuendelea kuchokoa kila uogapo sio sahihi.

Sasa ikiwasha je? Na ikiachwa huwa hadi inatokelezea nje....
 
Sasa ikiwasha je? Na ikiachwa huwa hadi inatokelezea nje....

Kuwashwa ni tatizo - Ugonjwa....unatakiwa upate matibabu.
Hiyo Nta haiwezi kutoka nje vingenevyo uwe unaumwa.
Vinginevyo ukijenga tabia ya kulichokoa litakuwa linawasha kila mara halafu utakuwa unalikuna mwishowe utajikuta unafurahi na kucheka kicheko kinachotia shaka kama cha Huyu bwana aloletwa na masai dada.
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaa....eti kicheko kinachotia shaka...mimi sijui kama ntaweza kuacha mweeeh...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…