Long weekend ahead

Long weekend ahead

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,345
Reaction score
15,852
Natamani jumanne ndio ingekua sikukuu ili tuliunge kuanzia leo, kesho, keshokutwa na mtondogoo.. maana kama ni movies mtu unakamua hadi zinakoma.. maana kusafiri nako mtu ujipange, anyway weekend njema na sikukuu njema kwenu nyote.. wale wa kucheza tucheze bila kukunja goti, na wale wa kunywa tunywe bila kumwaga pombe yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom