Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,575
- 3,107
Sina mengi ya kusema ni Bora usioe kabisa kuliko kuingia kwenye huu mkasa
SCAM SCAM SCAM
SCAM SCAM SCAM
Pole kwa yaliyokukuta, ni mapema mno kujumuisha.Sina mengi ya kusema ni Bora usioe kabisa kuliko kuingia kwenye huu mkasa
SCAM SCAM SCAM
Polee sana mkuu,ni mapito tu haya yataisha😔😔😔Sina mengi ya kusema ni Bora usioe kabisa kuliko kuingia kwenye huu mkasa
SCAM SCAM SCAM
I smell a yammy opportunity here🥳Funguka usaidiwe…
LDR is not for everyone.. tunakomaa tu kibabe 😀😀
hahaa dahisizid km 100 kwa hapa kwetu tz
Hahaaa haipo mkuuI smell an opportunity here.
Watafute helaTatizo ni kazi za kuajiriwa, unakuta mwanaume kapelekwa mguu chaga na mwanamke kapelekwa mguu neti...
Ndio mana inashauriwa kama kuoa bora uoe mwanamke aliyejiajili kama kuliwa aliwe mazingira uliyopoTatizo ni kazi za kuajiriwa, unakuta mwanaume kapelekwa mguu chaga na mwanamke kapelekwa mguu neti...