Nyakisesee2
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 251
- 405
Pole Mkuu
wote wanne mkaaminiana na kukubaliana
Long distance relationship inaweza ikafanya kazi endapo wote wanne mkaaminiana na kukubaliana



eti nn??tafuta chalii mmoja umkwide unafeli wapi lamamaFunguka usaidiwe…
LDR is not for everyone.. tunakomaa tu kibabe 😀😀
Hahaha imeenda hiyoeti nn??
Mada ndefu sana hiyo.....mjadala mrefu sanaaaaNdio mana inashauriwa kama kuoa bora uoe mwanamke aliyejiajili kama kuliwa aliwe mazingira uliyopo
NakaziaLong distance relationship inaweza ikafanya kazi endapo wote wanne mkaaminiana na kukubaliana
😂😂😂Long distance relationship inaweza ikafanya kazi endapo wote wanne mkaaminiana na kukubaliana
Pole sana mkuu. Kumbuka NDOA NI UTAPELI haijalishi ni mbali au la! Kataa ndoa.Sina mengi ya kusema ni Bora usioe kabisa kuliko kuingia kwenye huu mkasa
SCAM SCAM SCAM
Kilometres 100?.isizid km 100 kwa hapa kwetu tz
Pole sana mkuuSina mengi ya kusema ni Bora usioe kabisa kuliko kuingia kwenye huu mkasa
SCAM SCAM SCAM