expirience man
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 220
- 115
Awwww I can't wait for this....[emoji7][emoji7]Uzuri wa long distance love kama wote mnapendana siku mkionana mnakuwa peponi.
Kuchitiwa ndo kiswahili wewe, acha kuchafua lugha ya kiswahili.Kuchitiwa kupo ila long distance ina raha flani hivi
Katika siku 365 na robo mnaweza kuzinguana siku mbili tu
Ni kweli binamu Evelyn Salt...Kuchitiwa kupo ila long distance ina raha flani hivi
Katika siku 365 na robo mnaweza kuzinguana siku mbili tu
Yani graph ya mapenzi muda wote ipo juu
Yaani vibaya sana.... Ila sasa unajikuta mtumwa wa simu.Yani graph ya mapenzi muda wote ipo juu