MANGAMANGA21 JF-Expert Member Joined Oct 17, 2014 Posts 229 Reaction score 232 Feb 15, 2017 #41 Sky Eclat said: Ni ngumu kukuta wote mnaaminiana na linapotokea swala la mtoto ni ngumu zaidi Click to expand... Mtoto ndio mwisho wa matatizo. All in all kumtanguliza Mungu muhimu... Maana tamaa za mwili kiboko...
Sky Eclat said: Ni ngumu kukuta wote mnaaminiana na linapotokea swala la mtoto ni ngumu zaidi Click to expand... Mtoto ndio mwisho wa matatizo. All in all kumtanguliza Mungu muhimu... Maana tamaa za mwili kiboko...
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,820 Feb 15, 2017 #42 Sky Eclat said: Mradi ujumbe unasomeka siko kwenye mashindano ya uandishi. Click to expand... Kijana, si mashindano, ukiandika vizuri kitavutia zaidi. Huo ni ushauri tu.
Sky Eclat said: Mradi ujumbe unasomeka siko kwenye mashindano ya uandishi. Click to expand... Kijana, si mashindano, ukiandika vizuri kitavutia zaidi. Huo ni ushauri tu.
Sikonge Platinum Member Joined Jan 19, 2008 Posts 11,635 Reaction score 6,238 Feb 16, 2017 #43 Nipo huku Fiji kwa siku kadhaa. Nilijosahau nikajua jioni hii wote wameshakula. Pole sana Mukubwa Luckyline. 7 luckyline said: sio vizuri kuleta wimbo kama huu wengine hatujala mchana mambo mengi afu unakutana na hii kitu???? Not fair bana Anyway.... nice song thanx Click to expand...
Nipo huku Fiji kwa siku kadhaa. Nilijosahau nikajua jioni hii wote wameshakula. Pole sana Mukubwa Luckyline. 7 luckyline said: sio vizuri kuleta wimbo kama huu wengine hatujala mchana mambo mengi afu unakutana na hii kitu???? Not fair bana Anyway.... nice song thanx Click to expand...