Londonistan haiepukiki

Nenda kapitie mawaidha ya sheikh Ilunga ambaye alipigana sana na mfumo kristo kipindi cha JK

๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ uongo na vitu vipo Youtube? Na CD zipo?
 
Unataka niwe pagani mkosa maadili? Nini kinyume cha udini? Upagani au siyo?
Maadili gani nyie zaidi ya udini tuu, wengi wa hao wa London ni criminals and uneducated, elimu ya ahera na kuzaliana kama kuku haina mwisho mzuri
 
Nenda kapitie mawaidha ya sheikh Ilunga ambaye alipigana sana na mfumo kristo kipindi cha JK

๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ uongo na vitu vipo Youtube? Na CD zipo?
Hayo mawaidha yamejaa propaganda tu
 
Hayo mawaidha yamejaa propaganda tu
Hizo propaganda unatakiwa kuzipinga kwa hoja! Mwenzio anashusha ushuhuda wa maandiko na rejea wewe unakuja na porojo za propaganda

Shusha nondo kuwa hiki na hiki, wahusika waliotajwa sijui padre nani na nani hawapo dunia hii

Sijui kasisi nani wa vaticani hakuandika hicho kitabu na hakuwa wa mwanzo kuandika biography ya sheikh Ghazal nk

Wewe unakuja kusema propaganda bila details za kutosha?

WaislaM mkoa wa mwanza wanajivunia sheikh ilunga kwa maana kupitia ujasili wake wamepata vingi kutoka katika serikali yao! Kama maeneo yao nk....

Wewe unasema mawaidha ni propaganda??
 
Hao hawana hoja zaidi ya vihoja umemwambia atoe hoja usishangae akaanza kukutukana
 
Propaganda tu zile, hamna hoja ya kujibiwa hapo.

Tz kuna mfumo-Ccm tu, hakuna mfumo mwingine zaidi ya huo.
 
Kuuharibu uislam nisuala lisilo wezekana mzee ili uuharibu uislamu uanze kwanza kuiharibu Quran nanijambo ambalo halijawezekana miaka zaidi ya 1600 sasa
 
Waislam wanaotoka kwenye vita kama wakimbiz wanahamia ulaya that means huko kwao wanapungua tatizo lao ustaarabu mdogo wenyeji wamewachoka na nchi nyingine zishapiga ban waislam kuingia kwao ma radicals yamewaponza wenzao wenye misimamo yakiungwana
 
Kwahiyo kama ushoga unavyoongezeka kila kukicha tuseme ni halali nao kwakua unakua kwa kasi?
 
Majonzi ya nini mkuu
Kuna hii hadith hapa

KInachonipa furaha ni hadith hii hapa

1.
ุงู„ู’ุฃูŽู…ู’ุฑู ู…ูŽุง ุจูŽู„ูŽุบูŽ ุงู„ู„ู‘ูŽูŠู’ู„ู ูˆูŽุงู„ู†ู‘ูŽู‡ูŽุงุฑู ูˆูŽู„ูŽุง ูŠูŽุชู’ุฑููƒู ุงู„ู„ู‘ูŽู‡ู ุจูŽูŠู’ุชูŽ ู…ูŽุฏูŽุฑู ูˆูŽู„ูŽุง ูˆูŽุจูŽุฑู ุฅูู„ู‘ูŽุง ุฃูŽุฏู’ุฎูŽู„ูŽู‡ู ุงู„ู„ู‘ูŽู‡ู ู‡ูŽุฐูŽุง ุงู„ุฏู‘ููŠู†ูŽ ุจูุนูุฒู‘ู ุนูŽุฒููŠุฒู ุฃูŽูˆู’ ุจูุฐูู„ู‘ู ุฐูŽู„ููŠู„ู ุนูุฒู‘ู‹ุง ูŠูุนูุฒู‘ู ุงู„ู„ู‘ูŽู‡ู ุจูู‡ู ุงู„ู’ุฅูุณู’ู„ูŽุงู…ูŽ ูˆูŽุฐูู„ู‘ู‹ุง ูŠูุฐูู„ู‘ู ุงู„ู„ู‘ูŽู‡ู ุจูู‡ู ุงู„ู’ูƒููู’ุฑูŽ

16957 ู…ุณู†ุฏ ุฃุญู…ุฏ ุจู† ุญู†ุจู„

Tafsir

Tamim al-Dari reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said, โ€œThis matter will certainly reach every place touched by the night and day. Allah will not leave a house or residence but that Allah will cause this religion to enter it, by which the honorable will be honored, and the disgraceful will be disgraced. Allah will honor the honorable with Islam, and he will disgrace the disgraceful with unbelief.โ€

Na kinachonipa majonzi ni hadithi hii hapa
2.
"ุญูŽุฏู‘ูŽุซูŽู†ูŽุง ุนูŽุจู’ุฏู ุงู„ุฑู‘ูŽุญู’ู…ูŽู†ู ุจู’ู†ู ุฅูุจู’ุฑูŽุงู‡ููŠู…ูŽ ุงู„ุฏู‘ูู…ูŽุดู’ู‚ููŠู‘ูุŒ ุญูŽุฏู‘ูŽุซูŽู†ูŽุง ุจูุดู’ุฑู ุจู’ู†ู ุจูŽูƒู’ุฑูุŒ ุญูŽุฏู‘ูŽุซูŽู†ูŽุง ุงุจู’ู†ู ุฌูŽุงุจูุฑูุŒ ุญูŽุฏู‘ูŽุซูŽู†ููŠ ุฃูŽุจููˆ ุนูŽุจู’ุฏู ุงู„ุณู‘ูŽู„ุงูŽู…ูุŒ ุนูŽู†ู’ ุซูŽูˆู’ุจูŽุงู†ูŽุŒ ู‚ูŽุงู„ูŽ ู‚ูŽุงู„ูŽ ุฑูŽุณููˆู„ู ุงู„ู„ู‘ูŽู‡ู ุตู„ู‰ ุงู„ู„ู‡ ุนู„ูŠู‡ ูˆุณู„ู… โ€"โ€ ูŠููˆุดููƒู ุงู„ุฃูู…ูŽู…ู ุฃูŽู†ู’ ุชูŽุฏูŽุงุนูŽู‰ ุนูŽู„ูŽูŠู’ูƒูู…ู’ ูƒูŽู…ูŽุง ุชูŽุฏูŽุงุนูŽู‰ ุงู„ุฃูŽูƒูŽู„ูŽุฉู ุฅูู„ูŽู‰ ู‚ูŽุตู’ุนูŽุชูู‡ูŽุง โ€"โ€ โ€.โ€ ููŽู‚ูŽุงู„ูŽ ู‚ูŽุงุฆูู„ูŒ ูˆูŽู…ูู†ู’ ู‚ูู„ู‘ูŽุฉู ู†ูŽุญู’ู†ู ูŠูŽูˆู’ู…ูŽุฆูุฐู ู‚ูŽุงู„ูŽ โ€"โ€ ุจูŽู„ู’ ุฃูŽู†ู’ุชูู…ู’ ูŠูŽูˆู’ู…ูŽุฆูุฐู ูƒูŽุซููŠุฑูŒ ูˆูŽู„ูŽูƒูู†ู‘ูŽูƒูู…ู’ ุบูุซูŽุงุกูŒ ูƒูŽุบูุซูŽุงุกู ุงู„ุณู‘ูŽูŠู’ู„ู ูˆูŽู„ูŽูŠูŽู†ู’ุฒูุนูŽู†ู‘ูŽ ุงู„ู„ู‘ูŽู‡ู ู…ูู†ู’ ุตูุฏููˆุฑู ุนูŽุฏููˆู‘ููƒูู…ู ุงู„ู’ู…ูŽู‡ูŽุงุจูŽุฉูŽ ู…ูู†ู’ูƒูู…ู’ ูˆูŽู„ูŽูŠูŽู‚ู’ุฐูููŽู†ู‘ูŽ ุงู„ู„ู‘ูŽู‡ู ูููŠ ู‚ูู„ููˆุจููƒูู…ู ุงู„ู’ูˆูŽู‡ูŽู†ูŽ โ€"โ€ โ€.โ€ ููŽู‚ูŽุงู„ูŽ ู‚ูŽุงุฆูู„ูŒ ูŠูŽุง ุฑูŽุณููˆู„ูŽ ุงู„ู„ู‘ูŽู‡ู ูˆูŽู…ูŽุง ุงู„ู’ูˆูŽู‡ูŽู†ู ู‚ูŽุงู„ูŽ โ€"โ€ ุญูุจู‘ู ุงู„ุฏู‘ูู†ู’ูŠูŽุง ูˆูŽูƒูŽุฑูŽุงู‡ููŠูŽุฉู ุงู„ู’ู…ูŽูˆู’ุชู โ€"โ€ โ€.โ€"

Tafsir

Narrated Thawban:
The Prophet (๏ทบ) said: The people will soon summon one another to attack you as people when eating invite others to share their dish. Someone asked: Will that be because of our small numbers at that time? He replied: No, you will be numerous at that time: but you will be scum and rubbish like that carried down by a torrent, and Allah will take fear of you from the breasts of your enemy and last enervation into your hearts. Someone asked: What is wahn (enervation). Messenger of Allah (๏ทบ): He replied: Love of the world and dislike of death.

Sahih (Al-Albani)

Sunan Abi Dawud, 4297
In-Book Reference: Book 39, Hadith 7
English Reference: Book 38, Hadith 4284

Hadithi ya pili naona ndo kinachotokea now duniani kote
 
Unachanganya Waislam na Uislam.

Uislam hautofutoika wala kubadilika.
 
Haya yalishasemwa katika qur'an zaman kwamba hakika watu wataingia katika uislamu kwa wingi sana
Wewe hujui lolote ndugu yangu,hivi unajua kuwa uislamu ndio umeinua hadhi ya Yesu na mama yake?
 
Haya yalishasemwa katika qur'an zaman kwamba hakika watu wataingia katika uislamu kwa wingi sana

Wewe hujui lolote ndugu yangu,hivi unajua kuwa uislamu ndio umeinua hadhi ya Yesu na mama yake?
Allah ananiachaga hoi sana anaamini waislamu watakua na nguvu tu siku wakiwa wengi

Ni tofauti na Yahweh anaamini hata mkiwa wachache kama mnamwamini mtakua na nguvu hamuhitaji kuwa wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ