hivi ni macho yangu au.....naona upepo wa waKenya na waEthiopia unavuma vibaya safari hii.....
hivi ni macho yangu au.....naona upepo wa waKenya na waEthiopia unavuma vibaya safari hii.....
Kumbe huko nako michezo hiyo inafanyika??Wakenya hawaonekani kujituma sana kwenye Olympics kama wafanyavyo kwenye mashindano mengine yenye malipo mfano Golden League. Kuna Mkenya mmoja aliwahi kunambia baadhi yao hupewa motisha na mataifa yanayokamia medali ili wakimbie kama pacemakers na hulipwa kwa masharti kwamba asichukue gold medal.
hivi ni macho yangu au.....naona upepo wa waKenya na waEthiopia unavuma vibaya safari hii.....
Mkuu sio rekodi mpya ya muda kwani 2008 alitumia 19.19, pia Blake alishawai kutumia 19.26 na Johnson 1996 alitumia 19.32. Ni rekodi mpya kimantiki kwamba ni mtu wa kwanza kupata medali za dhahabu kwenye mbio za 100m na 200m kwenye mashindano yanayofuatana ya olimpikiusain bolt ameshinda mita 200 rekodi mpya ametumia sekunde 19.32.
What a win by Jamaicans in 200m final. Wamezoa medali zote tatu!!
1. Usain Bolt 19.32
2. Yohan Blake 19.44
3. Warren Weir 19:84
That's a clean sweep!!
Semenya alichelewa tu
bad calculations
angeuchukua gold