Mama yaani mi nawafagilia sana wanariadha wa US but hili jamaa kila nikiliangalia basi nanyong'onyea.
Na hata wenyewe wanyamwezi wa US wameonekana wazi kukosa dawa ya Bolt.
Nilihisi Justin Gatlin atatoka kifungoni na miujiza lakini kachambia *****.
Tyson Guy nae ndio walewale, Shawn Crawford nae ndio ushuzi tu siku hizi...
Dah haya bana, pongezi nyingi zimfikie MR Mahatua Ussain Bolt.
sIKU ZOTE SISI TUKIVUKA MIPAKA YA NCHI NI KWENDA KUTALII. SO WATANZANIA WENZETU WALIKWENDA KUSHIRIKI.hivi watanzania wenzetu wameshakimbia?
Mama yaani mi nawafagilia sana wanariadha wa US but hili jamaa kila nikiliangalia basi nanyong'onyea.
Na hata wenyewe wanyamwezi wa US wameonekana wazi kukosa dawa ya Bolt.
Nilihisi Justin Gatlin atatoka kifungoni na miujiza lakini kachambia *****.
Tyson Guy nae ndio walewale, Shawn Crawford nae ndio ushuzi tu siku hizi...
Dah haya bana, pongezi nyingi zimfikie MR Mahatua Ussain Bolt.
Mita 200 nazo Ussain Bolt yumo?
Basi makubwa
[TABLE="class: medals-table results-table"]
[h=2]Latest Results for Zakia Mrisho[/h][TR]
[TH="class: date"]Date[/TH]
[TH="class: event"]Event[/TH]
[TH="class: rank"]Rank[/TH]
[TH="class: mark-header"]Mark[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="class: date"]7 Aug[/TD]
[TH]Women's 5000m Round 1, Heat 2 [/TH]
[TD]16 [/TD]
[TD="class: mark"]15:39.58[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hayo ndio matokeo ya Mtalii wetu alishindana leo huko London. "Kajitahidi sana", ameshika nafasi ya 16 kati ya 18, kumbuka umri nao umekwenda alikuwa anashindana na vijana kuliko yeye.
Filbert Bayi na Ikangaa inabidi watueleze wamefanya nini tangu waingie hapo zaidi ya miaka 10 iliyopita. Ni hawa hawa waliofanya fitna kuwatoa Mzee Kubaga na Erasto Zambi.
Mambo ya aibu haya, wangezamia wasomali ingemake sense.Kuna wa Cameroon 7 wameiingia mitini. Inasadikika wameamua kuzamia. Shameful.
hahahahaaah!! Sidhani kama angefikia hadi hapo kama angekuwa anatumia madawa.huyu Usain hawajawahi kumchunguza kweli anatumia madawa..
hahahahaaah!! Sidhani kama angefikia hadi hapo kama angekuwa anatumia madawa.
Jamani eeh!! Mazoezi ya sinkolonaizing swiming yapo wapi? Kocha kama upo humu tupe ratiba.