London 2012 olympic- tanzania inajiandaaje?

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
hey wadau wa michezo

Je Tanzania tuna mikakati yeyote kwenye olympic za london 2012. I mean kuna kilichobadilika baada ya olymic za bejing
  • Michezo gani tunatarajia kushiriki?
  • wananamichezo gani viwango vyao vinawaruhusu kushiriki
  • Kuna umuhimu wa kushiriki hata kama kama hatuna washindani ?

Tujadiliane
 
Back
Top Bottom