Loliondo, OBC, Dowans: The disturbing connection and secrets

Loliondo, OBC, Dowans: The disturbing connection and secrets

Tanzania kweli aina haki jamani. Maana huo ndio uonevu kupita sasa iweje waziri mkuu wa Tanzania aseme ye hayajui yanayo tendeka huko kwani wamasai si wenzetu au ndio anafumbia macho kwa faida za wenzake, au hawa represent hao.

Hii kweli ni kesi ya kupelekwa umoja wa mataifa kwa ukuikaji wa haki za binadamu na kuaribu mazingira ya wanajamii ya kimasai.

Mh, Mwinyi alaumiwe kwa kuuza, lakini Mh. Kikwete embu tuombe hiyo miaka mitano ipite aende zake kwani yeye ndio ana responsibility za kutulinda sasa iweje jamaa wafikie hatua hizo za kuwanyanyasa watanzania, kama wanavyosema wenyewe au wanadhani na wao ni wanyama tu. Huyu jamaa embu basi astaafu maana hii kazi sasa imemshinda wizi awezi kuzuia basi na maisha ya watu pia huwa aribie. Yaani kwa keli Tanzania ina poronyoka kupitia kwa Kikwete na bado ana miaka mitano mingine ataiacha mahututi, embu unganane upinzani CCM itoke kwani ni chama tu hicho na kwa kweli akitakiwi tena kushika nchi wanaleta hasara na mauaji tu.

Cha ajabu amna kiongozi anae kemea hili apart, from masai sides its as if hayo mambo haya tendeki nyumbani ata Lowassa kawasaliti watu wake na wanaomuona hero huko.
 
wacha wewe huyu Rais amechaguliwa na wananchi tena kwa asilimia kubwa ambayo hakuna Rais hata mmoja wa Tanzania aliyefikia wingi wa kura alizozipata, na hivi sasa ndio anakamilisha zile sera ambazo alizimwaga kwa wananchi na kufikia kumchaguwa miongoni mwake ni kuborotesha uchumi wa nchi na ndio anatekeleza hivi sasa kama ni kuondowa masai na kuimarisha uchumi wa nchi why not ? ondowa masai lete wawekezaji .

mkuu hapo[penye nyekundu] ulimaanisha kuzorotesha au kuboresha?maana lolote kati ya hayo linaweza kuwa kweli
 
Lunyungu una matatizo kweli wewe,kati wafugaji na wewe nani aliyeirudisha CCM madarakani?

Hii laana ataibeba Ali Hassani Mwinyi, kwa ulimbukeni wake wa kutetemekea waarabu.

Naona na dogo JK anaendeleza uharamia wa mzee wake Mwinyi.

Mimi huwa nashangaa tu watu wanamsifia mpumbafu kama mzee mwinyi.....lakini bora hata yule kijana alilipiga kofi....
 
Hivi mtu kama sonara anajidai kumpongeza Kikwete na Serekali yake kwa lipi hapa??
1. a) Uingiaji wa mikataba kati ya OBC na Serikali za Vijiji, mikataba ambao inaonyesha serikali imesaini mikataba na vijiji kwa niaba ya OBC iliyosaini kama shahidi katika mikataba hiyo.
b) Kutekwa kwa mawasiliano ya makampuni ya simu ya Tanzania katika maeneo yaliyo karibu na kitalu cha OBC ambacho hakina mipaka inayoonekana. Mfano, ukiwa eneo hilo unapata ujumbe mfupi was simu (sms) kutoka kampuni ya ETISALAT unaokukaribisha na kusema, “karibu katika Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu”.
c) Kujenga kiwanja cha ndege na kuwepo kwa mawasiliano ya Anga ya moja kwa moja kutoka eneo la kitalu kwenda nchi za nje. Kiwanja hicho hutua ndege kubwa zenye uwezo wa kubeba takribani watu mia nne na magari kadhaa.
d) Kutokueleweka utaratibu wa ukusanyaji wa kodi mbalimbali kwa sababu hakuna taarifa zinazoonyesha iwapo Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yanakusanya mapato kutokana na magari yanayoingizwa na kutumika nchini yakiwa na namba za usajili wa Nchi za Falme za Kiarabu pamoja na rasilimali zinazochukuliwa moja kwa moja kupitia uwanja huo.
e) Kampuni ya OBC inapewa hadhi ya kidiplomasia na wakati ni kampuni iliyosajiliwa kama kampuni nyingine. Mfano, kambi ya kampuni hiyo inalindwa na FFU, jeshi la polisi na chombo cha dola! Aidha kuna vikundi-kazi vya serikali katika ngazi za wilaya hadi taifa vilivyoundwa kuratibu shughuli za kitalu hicho. Viongozi wa FemAct pamoja na Mitandao ya Wafugaji walikataliwa kuingia ndani ya kambi ya kampuni husika ila, badala yake, waliondoshwa kwa kusindikizwa na FFU na baadaye kusimamishwa na kuhojiwa na FFU walioagizwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha na Wilaya ya Ngorongoro.
Na kwa maendeleo gani imeleta katika eneo hili???

Tusiwe kama kasuku kila mara tunaimba vitu ambavyo hatuwezi kuvielezea maana yake na uhalisia wake.

Ukiona huna cha kuchangia,soma kisha kaa kimyaaaaa.
Arnghaaaaaaa,..ntakung'ata bure,..

Pale wanachukua wanyama wazima na wanaanzisha artificial game reserve kwao. Mbona siyo hao tu, ukienda Norway ukatembelea zoo pale kristiansand utakuta twiga, simba na wote wametoka Tanzania. Ila uzuri wa wazungu wananunua ktk mazingira mazuri lakini waarabu hawana ustaarabu na binadamu.
 
Kitakachofuata siku si nyingi zijazo ni Watanzania kuchukua silaha na kuanza kujitetea dhidi ya upendeleo wa wageni. Hili linaweza kuonekana ni mzaa lakini inachukua watu wachache waliokata tamaa kuanzisha mapigano ya silaha. Wamaasai wanaponyang'anywa ardhi yao inabidi wahame kwenda mikoa mingine kutafuta malisho ya mifugo yao. Huko nako wanaambiwa wanaingia maeneo ya wakulima na kufukuzwa au kuporwa mifugo yao kama ilivyotokea Kilosa hivi karibuni. Hivi unafikiri hakuna vijana wa Kimaasai wasomi ambao wanaumizwa na hili? Siku moja wakiona liwalo na liwe nani atawalaumu? Hii siyo Tanzania tuliyoijua. Ni nchi mpya kabisa.
 
Mtumwa ndani ya nchi yake. Hii ni hatari sana lazima Serikali ilitazame vizuri na kuchukua hatua haraka sana
 
Mkuu unataka kujua? au unatupima kama tunajua unalojua? mafumbo mafumbo mengi, mwaga unalojua lijadiliwe mkuu..!
hilo swali kamwulize mwinyi. tatizo la baragashia, zikipata urais huwa zinapenda kila kitu kiwe cha kiarabu tuuu, kwasababu waarabu ndo mabwana zao, ni mabosi wao, ni miungu yao. kama ingewezekana hata ngozi yao nyeusi wabongo wangejichubua wawe waarabu kabisaaa. hapo huwambii kitu aisee, mwarabu hata akitaka kununua tz nzima, kwa baragashia anatoa. poleni watz. sisi wengine hayatuhusu, wala hayatugusi. tuko mbaliiii.
 
Asante kwa kuuonyesha picha za yanayotokea maana ni rahisi kusema hayatuhusu au ni uzushi wa wanaharakati! Haya yanatokea ... swali la kujiuliza ni nini tunachoweza kufanya kukomesha uhalifu huu? big up kwako sir Leem kwa kushare hizi picha.
 
Nashukuru kwa uliyetuwekea hizo picha, hivi mwinyi, kikwete inakuwaje mnakuwa ka mbwa akiona chatu muonapo waarabu????

Kapteni kalisi pale ngerengere lazima tukomeshe haya mambo. Issue hii tukiamua ni ndogo sana, we can solve it just like we did in Commoros.

Kikwete take care, usidhani hatuwezi, tafadhali chukua hatua!!!
 
Duh! Yani hii ni aibu. Mbona wapinzani wamekaa kimya? Hii ishu sio ndogo. Nchi inaoza jamani! I cry for my beloved country....
Tunaenda wapi?
 
Hii yote ni kwa sababu ya viongozi wa CCM kudhani bila kuhonga pesa huwezi kushinda uchaguzi.....pumbafu kabisa.......hivi wanyama wakiisha, dhahabu ikaisha, CCM si mtauza watu?????
 
Mkuu,

Ya Loliondo mbona ni zaidi ya decade sasa!

Unataka Stan K afufuke?

Loliondo iliuzwa na Mzee wa Ruhusa miaka hiyooooo!

Lakini hata kama iliuzwa enzi za ruksa, Je waliokosea mwanzo hatuwezi kurekebisha tena? au waliouza ndo hawa waliopo sasa hivi?
 
Hakuna ubinafsishaji hapa Tanzania bali tunagawa;na viongozi wetu ndiyo wameridhia hivyo na ndiyo maana wakatengeneza sheria inayoielekea/kukaribia suala zima la ubinafsishaji.Inamaana bado hatuna sheria halisi ya ubinafsishaji wa mali za Taifa,labda hapo baadaye tunaweza kuwa nayo.Siku zote sisi tunakuwa nyuma,hiki si ndo kichwa cha mwendawazimu au mmesahau?

Wewe umenena, maana hakuna ubinfsishaji, hakuna faida, ni kugawa kabisa tena bure,, wahusika wanapata vijisenti tu wanalala mbele
 
Loliondo gate is the Mother of all Ufisadi in Tanzania, ndiyo kubwa lao. Ndiyo mifano ya ufisadi ilianzia hapo. Loliondo was the blueprint from which others learnt. Ufisadi ni ufisadi tu, lakini bora ufisadi wa Dowans, bora wa IPTL, bora wa EPA bora hata wa KIWIRA ambao tumejua madhara yake ni yapi, hasara in monetary value imejulikana, wahusika wametajwa....Lakini Loliondo ni giza tororo. Ni Tanzania lakini pia ni UAE. Ni salama, lakini kwa waarabu tu, Airport ipo lakini si yetu.....
 
Loliondo gate is the Mother of all Ufisadi in Tanzania, ndiyo kubwa lao. Ndiyo mifano ya ufisadi ilianzia hapo. Loliondo was the blueprint from which others learnt. Ufisadi ni ufisadi tu, lakini bora ufisadi wa Dowans, bora wa IPTL, bora wa EPA bora hata wa KIWIRA ambao tumejua madhara yake ni yapi, hasara in monetary value imejulikana, wahusika wametajwa....Lakini Loliondo ni giza tororo. Ni Tanzania lakini pia ni UAE. Ni salama, lakini kwa waarabu tu, Airport ipo lakini si yetu.....
Na Nchi imeuzwa kwa siri na sisi hatujui imeuzwa kwa bei gani na kwa mkataba upi!! Dr. Slaa upo??
 
Kila kitu kimeuzwa ila tu hatujui kama na sisi wananchi pia ni inclusive kwenye hiyo package! ukitafakari sana kulikuwa hakuna umuhimu wa Nyerere kupigania uhuru maana hatuko huru kabisa, halafu eti kila mwaka tunaadhimisha siku ya uhuru tanzania, nonsense
 

UAE carves out its own 'territory' in Tanzania


ALVAR MWAKYUSA
Dar es Salaam

'HAVE a pleasant stay in the UAE (United Arab Emirates)', says an automatic text message on your mobile phone once you enter a certain part of Tanzanian territory in Arusha Region, which locals say has now been effectively colonized by “the Arabs.”

The area in question is located within the Loliondo game-controlled area (LGCA), in Ngorongoro District.

Residents of the area say all local mobile phone networks have somehow been blocked in favour of the UAE's Etisalat telecoms company. They say they can't make calls through the local networks because of lack of a signal.

They say they are forced to log into some strange codes, and end up being charged very high rates to make local phone calls as if they were making international calls.

“Dear guest, welcome to the UAE (United Arab Emirates). Enjoy the best network coverage and other unmatched services only with Etisalat. Have a pleasant stay in the UAE,” states the text message that greets visitors near a safari camp owned by the UAE-based Ortello Business Corporation, at a place refereed to by the locals as 'Arabiya.'

Locals say the area actually resembles a foreign colony within Tanzanian borders, with members of the police Field Force Unit (FFU) providing 24-7 security to the camps where unauthorized visits are strictly forbidden.

A fleet of off-road vehicles can be seen roaming the area, some of them bearing number plates with Arabic inscriptions or just blank plates with no numbers at all.

In the heart of the arid plains of Ngorongoro District, the UAE investor also has a number of trucks providing clean water to camps operated by OBC.

OBC was registered as an international company incorporated in the British Virgin Islands. It is owned by UAE army major general Mohamed Abdul Rahim Al Ali, and started its operations in Tanzania in 1992 when the government granted it a 10-year hunting concession for the LGCA hunting block.

With a built-in royal palace included, here is where the king and other members of the UAE royal family, along with and other influential businesspeople, are said to spend leisure time during hunting seasons which start in June each year and last for several months.

They don't even need to use the Julius Nyerere (Dar es Salaam), Kilimanjaro, or Jomo Kenyatta (Nairobi) International Airports; not with a modern airstrip at their disposal right within the hunting block.

A team of local journalists and activists on a fact-finding mission were recently barred from entering a designated VIPs (very important persons) area within the block. After being received by a uniformed FFU policeman at the gate, the team was told to wait so he (the policeman) could consult his “superiors.”

Within minutes, the said “superiors” turned up in a four-wheel Nissan Patrol vehicle with registration number T179 AGX, and after some discussion with the leaders of the 20-plus delegation, they handed over the matter to someone described as the “camp manager.” He neither identified himself nor showed any cooperation with the team.

“I don't have any notification that you would be visiting here, and I thus can't allow you inside. There are rules to follow; you can't just barge into someone's house like this,” said the visibly uneasy “camp manager” as he also made excessive use of his own phone through several incoming and outgoing calls.

As the visiting delegation was leaving the area in their three-vehicle convoy, and probably suspecting that the journalists might be taking photographs along the way, the “camp manager” and two other vehicles - including one carrying a posse of FFU policemen - trailed them for some kilometres in what seemed like a script straight from a Hollywood movie.

Whenever the delegation stopped, they would also stop. After a while, they eased off, though the “camp manager” could be seen still on his phone almost all the time.

A few kilometres to the Loliondo township of Waso, the delegation was stopped by an acting inspector of police, Isaack Manoni, who ironically is the in-charge of the operation to evict the Maasai pastoral community in the area and burn down their kraals.

According to Inspector Manoni his superiors had notified him by phone that a team of activists had caused some chaos and taken photos of the area. The swiftness of the response by the police to OBC's complaints appeared to be a clear indication of the strong influence wielded by the UAE firm over authorities in the area.

Said Manoni: “I have received calls from the DC (district commissioner) and the RC (regional commissioner), that you went into the OBC camp and caused some chaos on top of taking photos. I kindly ask that if you have taken any photos of the camp, you should not publish them.”

The delegation leader told him that no photos were taken at the camp.

The Loliondo game-controlled area is located in Ngorongoro District, Arusha Region. It borders the Ngorongoro highlands to the south, Serengeti National Park to the west, and the Maasai Mara Game Reserve in Kenya to the north, encompassing an estimated area of over 4,000 kilometres.

According to OBC Managing Director Isaac Mollel, the Tanzania Communication Regulatory Authority (TCRA) is aware of the presence of Etisalat's phone network in the area. “It has been there even before other local networks came in...moreover, Etisalat is a parent company of ZANTEL and therefore I see no problem there,” stated Mollel.

TCRA Publicist Innocent Mungy has recently been quoted as saying the communications watchdog has dispatched its own team to the area to assess the situation.

Source; ThisDay

 
Hili bandiko sio geni hapa jamvini...

Mimi nasema "Loliondo iliuzwa mwaka 1992".
 
Back
Top Bottom