Na kwenyewe wameandamwa! Wenye Grumeti waliisha wahi kupigiwa kelele kuhusu mahusiano yao na wahadzabe.
Sasa unataka kutuambia kwa vile wazungu nao wanafanya uovu basi tusiwaandame waarabu? Unaipenda kweli nchi yako au umeweka mbele uhusiano wako wa kidini?
Amandla....
Weka data zao hapa, waarabu ''wameua'' mbizi wanne kwa mujibu wa taarifa? weka data za hizo mbuga zingine tuzione.
Hivi ni kati ya vitu vinavyonifanya nihukumu kuwa tatizo ni letu watz wenyewe,hujuma kali iltakiwa ifanywe kwa hawa watu,kufyekelea mbali baadhi yao,wangetia akili tu,mwarabu ni mshenzi.Connect them if you can: Loliondo Gate => Yaeda Chini => Dowans and CCM!
What is the connection? There is a connection, a troubling one that is.
Ina maaana washa UZIWI na hapo au?Na ofisi za OBC pale Arusha zipo pembeni mwa Ikulu Ndogo!!!
Ina maaana washa UZIWI na hapo au?
Naombeni kuelimishwa maana ya neno 'concession'? Please guys!
Wakuu,
jf is an archieve! Nakumbuka scandal za Loliondo ya mzee mwinyi! so 2009 to date na miaka hiyo kabla Loliondo imeedelea kuwa shamba la bibi...ni jimbo la nani? EL yuko huko? sorry natoka upande mwingine wa nchi with little abc.za huko. Kimya cha magogoni may mean kuhusika ktk mgogoro huo? nini hatima ya walionyanganywa ardhi na kuvunjiwa nyumba? tunaweza fanya nini Loliondo huwe mgogoro wakitaifa for collective effort to help the victims?....
Hivi ni kati ya vitu vinavyonifanya nihukumu kuwa tatizo ni letu watz wenyewe,hujuma kali iltakiwa ifanywe kwa hawa watu,kufyekelea mbali baadhi yao,wangetia akili tu,mwarabu ni mshenzi.
Hivi mgeni aliyekuja juzi na kupokewa na Membe ana uhusiano gani na Loliondo, Hazabe, Dowans na CCM?