Ndo kasumba hizo kaka. Binafsi ni mpenzi sana wa dawa za asili. Aloevera chungu ni dawa ya malaria, na ninao mche wake nyumbani. Kwanini nikanywe midawa mseto ambayo sasa hivi watakuambia hazifai kama walivyosema kwa fansidar, chloroquine na SP.
acha umbumbu wewe.kwani dawa mseto,SP,Chloroquine zimetoka wapi?dawa nyingi zimetoka kwenye majani ya asili.
mimi siwapendi wazungu na dini zao.
Ww kipindupindu ndio MPUMBAVU wa kwanza,japo zimetokana na majani ila zimechanganywa na kemikali kibao! Jamaa yupo sahii kutumia pure mimea na ww mpumbavu,kilaza usiejua kama chloroquine imechanganywa na chemicals funguka!

wewe ndio tepe kabisa taja hizo 'chemicals' zilizoko kwenye chloroquine na sio kutoa shutuma kama mpiga debe wa stendi.dawa ya babu ni feki,wapuuzi kama nyinyi ndio mnaoamini inatibu.
acha umbumbu wewe.kwani dawa mseto,SP,Chloroquine zimetoka wapi?dawa nyingi zimetoka kwenye majani ya asili.
wewe ndio tepe kabisa taja hizo 'chemicals' zilizoko kwenye chloroquine na sio kutoa shutuma kama mpiga debe wa stendi.dawa ya babu ni feki,wapuuzi kama nyinyi ndio mnaoamini inatibu.
Mbumbumbu babako mzazi! Wewe umesoma phamarcy ya wapi hata ukajua dawa za magharibi zinavyotengenezwa, unajua chemical composition yazo? Mimi naamini mitishamba kwa kuwa nina uhakika ni halisi kwa asilimia mia. Mara ngapi tumeambiwa dawa zimeleta madhara kwa watumiaji, alovera natural never did that you sucker! Au unamiliki duka la dawa mnazojichukulia hospitali za serikali? Afu sio kwa vile una domo ndo uchangie kila kitu kaka, unakuwa kama Kibonde bwana?
1. Ezekiel 47:12- Na karibu na mto, juu ya ukingo wake, upande huu na upande huu, utamea kila mti wa chakula, ambao majani yake hayatanyauka, wala matunda yake hayatatindika kamwe; ...matunda yake yatakuw ni chakula na majani yake yatakuwa ni dawa.
2. Ufunuo 22:2- katika njia kuu yake. Na upande huu na upande huu wa ule mto, ulikuwapo mti wa uzima, uzaao, matunda aina kumi na mbili,wenye kutoa matunda yake kila mwezi; na majani ya mti huo ni kuwaponya mataifa.
Kwa ma-rastameni hizo aya ulizozinukuu ndio zinahalalisha uvutaji wa bange (mjani)! Nawasilisha.1. Ezekiel 47:12- Na karibu na mto, juu ya ukingo wake, upande huu na upande huu, utamea kila mti wa chakula, ambao majani yake hayatanyauka, wala matunda yake hayatatindika kamwe; ...matunda yake yatakuw ni chakula na majani yake yatakuwa ni dawa.